Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Sielewi kama ni hizo ila nilipo anza mazoezi nilipiga sana hizo na kuja kukuta naona kijungu kimetokezea .
 
Kuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.
 
Ungeweka picha
 
Sielewi kama ni hizo ila nilipo anza mazoezi nilipiga sana hizo na kuja kukuta naona kijungu kimetokezea .
πŸ˜²πŸ˜²πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukafanyaje sasa?au umeridhika nalo?
 
Kuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.
Ni moja ya zoezi zuri sana hii squat, sasa sisi wanaume hatuna shida sababu hatuna hips za kujaa kama kina KE.

Kuimarisha joints, pia kutengeneza packs na kutoa kitambi....kuna faida tele....kwan ME anadeposit ya fat yaani kalio tena ikiwa anapiga zoezi... tufanye mazoezi kwa afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…