Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Alikwepo..Ila kwa ule weusi kumuona ni kazi
 
Kiukweli hapo kukosekana kwake ilikuwa Sawa na kukosekana Kwa ndimu kwenye kachumbali
 
Nimepotea jukwaa...ngoja nihame fasta mana ...
 
Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
Talk to them......irrelevant issue katika ulimwengu wapilika nyingi!sijui anadhan Mpoki ndio baba mzazi wa Masanja
 
huku ndipo tulipofikia watanzania maisha ya udadisi na gossipings kweli tuna safari ndefu
 
We mtoa maada kwani wewe ulienda kwenye hiyo harusi?
 
Tajiri la kihaya huyo, hawezi kuhudhuria sherehe kwenye vibanda mama-ntilie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…