Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

ujanja kupata...!!!
 
Huenda ajira yake mpya mkataba wake unamfunga asifanye hayo mengine,mkumbuke kuwa MPOKI ni mwajiriwa wa E-Fm sio mchekeshaji na pia mbona kuna kipindi masanja aliwah kufanya interview kwenye kipindi cha Ubaoni cha akina mpoki?Ila pia kutohudhuria harus huwez ku judge,maana huenda hata mpoki alikuwa amebanwa na mambo mengine au alibanwa na TUMBO LA KUHARA
 

Tatizo ni Masanja Kaokoka.
Bila matusi The Comedy hawawezi kuchekesha!
 
Sidhani kama wanamtafaruku maana mwezi ujao niliwaona mpoki na joti airport mwanz walikua wako pamoja wakisubiria ndegw y kwend dar
Maish yamebadilika mtoa mada,kufatanafatana kama kuku sasa hvi hakuna

Aisee??!! Umetisha best...hicho ni kiona mbali niazime na mimi basi.
 
Huo wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…