Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Kama ipo bifu chanzo ni masanja huyu jamaa ametoka sana kupitia joti na mpoki....
Unaposema kundi la commedian ni mpoki na joti....
Ila jinsi masanya alivyotokea nakuwapita wenzake even me ningekaa pembeni.

Bila jot na mpoki hakuna comedi.....
Kwahiyo masanja na yeye ajiandae.....
ujanja kupata...!!!
 
Huenda ajira yake mpya mkataba wake unamfunga asifanye hayo mengine,mkumbuke kuwa MPOKI ni mwajiriwa wa E-Fm sio mchekeshaji na pia mbona kuna kipindi masanja aliwah kufanya interview kwenye kipindi cha Ubaoni cha akina mpoki?Ila pia kutohudhuria harus huwez ku judge,maana huenda hata mpoki alikuwa amebanwa na mambo mengine au alibanwa na TUMBO LA KUHARA
 
Kumekuwa na sintofaham kwa mashabiki wa kundi la vichekesho la original comedy la hapa nchini linaloundwa na vijana sita akiwemo Mpoki, Masanja, Joti, Mark Regan kipara na wengineo kwa kuwataja wachache kwamba huenda hilo kundi limevunjika na pengine kuna beef kati ya kutokana na mfululizo wa matukio ya hivi karibu.

1. Kutokutoa kazi mpya kwa muda mrefu
Kubwa ni ukimya wa hili kundi wa kutoa kazi mpya. Wamekuwa kimya sana hawa wasanii kwenye kutoa kazi mpya kupelekea watu kujiuliza pengine limekufa.

2. Kila mtu anafanya kazi yake
Kwa sasa kila mtu anafanya kazi yake kwa Mpoki yeye ni muajiriwa kituo cha radio cha E fm. Masanja amejiajiri kwenye miradi kadhaa ikiwemo ule aliofungua muda si mrefu wa uuzaji mgahawa.

3. Kutokushirikiana kwenye shughuli za kijamii
Kwa sasa baadhi ya hawa wasanii wamekuwa hawahudhurii kwenye baadhi ya shughuli za kijamii ikiwemo harusi na sherehe. Mfano hivi karibu mmoja kati ya hawa wasanii Masanja alikuwa anaoa. Wengi walihudhuria lakini Mpoki hakuonekana kwenye shamrashamra za harusi hiyo kuweza kutia hofu kwa mashabiki zao.

Je kundi limekufa?

Tatizo ni Masanja Kaokoka.
Bila matusi The Comedy hawawezi kuchekesha!
 
Sidhani kama wanamtafaruku maana mwezi ujao niliwaona mpoki na joti airport mwanz walikua wako pamoja wakisubiria ndegw y kwend dar
Maish yamebadilika mtoa mada,kufatanafatana kama kuku sasa hvi hakuna

Aisee??!! Umetisha best...hicho ni kiona mbali niazime na mimi basi.
 
Kama ipo bifu chanzo ni masanja huyu jamaa ametoka sana kupitia joti na mpoki....
Unaposema kundi la commedian ni mpoki na joti....
Ila jinsi masanya alivyotokea nakuwapita wenzake even me ningekaa pembeni.

Bila jot na mpoki hakuna comedi.....
Kwahiyo masanja na yeye ajiandae.....
Huo wivu
 
Back
Top Bottom