Je, ni kweli mwanamke mwenye kitambi hupoteza mvuto?

Pole .(nahisi ni wewe mwenyewe).jaribu kupunguza vya mafuta na sukari kupita kiasi,soda, supu na nyama nyekundu.
Kila mtu kahisi ni mm kutokana na nilivyoovaa uhusikaa.... Anyway lkn siyo mby km ni mm
 


Kwangu mimi ni kweli, yaani siwamind kabisa mademu wanene na wenye vitambi. Kulala na demu kama huyu kunanipa hofu ya kuwaza nafanya mapenzi na dume mwenzangu.
 
Ukweli napenda wanawske wanene ila shida kama ana kitambi ukimlalia ili ule deda mara anasema tumbo linamuuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Reactions: lup
Mwambie aje kwangu, atapata mazoezi ya kumkata kitambi, tena jinsi ninavyowapenda wenye vitambi wala hapati shida[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie aje kwangu, atapata mazoezi ya kumkata kitambi, tena jinsi ninavyowapenda wenye vitambi wala hapati shida[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
Nakuona nakuona unachangamkia fursaa
 
Waulize wenye picha zanguu km nakitambia au wale walio nigegeda humu Jf km wapooo....je walinikuta na kitambii????

Cc:Michael
Asante kwa Testimony shukran sana Michael kwa kutuwakilisha kwenye mgegedo[emoji41] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…