barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Useless, afanye cardio! Fast and furious cardio for 30 minutes daily!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Useless, afanye cardio! Fast and furious cardio for 30 minutes daily!
Habari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)
Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...
......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
[emoji3][emoji23]Akinywa maji mengi atakuwa km ray kigosi
Tatizo ni pale mshahara utakapokosa kwenye hiyo ajira mpya[emoji39] [emoji39] uacheee ujiongezeee tu haina shida
Mwambie aje kwangu, atapata mazoezi ya kumkata kitambi, tena jinsi ninavyowapenda wenye vitambi wala hapati shida[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]Habari za mida hii wapedwaaa???
Msaada:::: Nina rafiki yangu ana kitambii si kikubwa sanaa ila kinaonekanaa mfano akivaa blauzi ya kumbanaa..... Mara nyingi huwa analalamika analichukia tumboo lake na amejaribu kufanya mazoezi kashidwaaa...... Na anaogopa kuingia kwenye relationship coz hapo awali aliwahi kutoka na wanaume wawili kwa nyakati tofauti wakawa wanamsema vibaya kuhusu tumbo lake(kitambi)
Kwahiyo anaogopa kuingia tena kwenye mahusiano ......anahisi atatedwaa tena kutokana na tumbo lakeee...
......swali::je nikweli wanaume wengi hawapendi mwanamke awe na kitambii!!!?? Na km umetokea kumpenda msichana alafu ana kitambi nawewe hukipendi utafanyajeee????
USHAURI: Je, kuna njia nyingine anayoweza kuitumia ili kitambi kipungue km si kuisha kabisaaa????
Haaaaa ivo ivo embe bichi linaliwa na chumvi[emoji85] [emoji85] mi bado mdogooo[emoji125]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi ujitoleee tu,,. Vyovyote itakavyokuwa na iwe
Asante kwa Testimony shukran sana Michael kwa kutuwakilisha kwenye mgegedo[emoji41] [emoji41]Waulize wenye picha zanguu km nakitambia au wale walio nigegeda humu Jf km wapooo....je walinikuta na kitambii????
Cc:Michael
Misosi bila mpango + kutofanya mazoezi.Sijui ndiyo maana nauliza