Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka.

Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna mnakariri utamu wa chakula kikipikwa na mtu fulani?

Kuna kisa niliwahi kusoma mtu akitoa ushuhuda kuwa yeye baba yake alikuwa anaweza kujua hadi chai kwa hii chai leo imechemshwa na watoto na si mke wake, na kukataa kunywa anamwambia mkewe akamkie tena ndio anakunywa anaridhika.

Hii ni kweli wanaume?
 
Ni kweli hasa aina ya chakula kwa mfano mimi pilau, samaki, au nyama akipika mke angu hata kabla ya kuhoja najua tu kwamba niyeye au mtu mgine kapika, ila nikikuta ugali mgumu najua moja kwa moja sio yeye ugali wake ni tepetepe siku zote unamshida kupika
 
Hii ikiwa mkeo ni hodari wa kupika ndio utajua,kwasababu upikaji una utambulisho wake msosi unakuwa amazing, na kama mkeo hajui kupika na siku ukala msosi amazing utajua huyu sio mkeo,ni njia hizo mbili tu,hakuna sayansi,intuition au uchawi,period
 
Mkeo aonekana MashaAllah jikoni 👌
Hongera kaka
 
Hii ikiwa mkeo ni hodari wa kupika ndio utajua,kwasababu upikaji una utambulisho wake msosi unakuwa amazing, na kama mkeo hajui kupika na siku ukala msosi amazing utajua huyu sio mkeo,ni njia hizo mbili tu,hakuna sayansi,intuition au uchawi,period
Yes yes
 
Wife nilishamuambia kabisa sili chakula ambacho hujapika wewe. Kama akiona hiyo siku hawezi kupika anitaarifu nile mgahawani. Sitaki kujikera na mapishi mengine ya hovyo.
 
Ni mswahili wa pwani, ndo upishi wao mashaallah ila uvumilivu shida sana, hali makande, udaga nk. Sometime nichangamoto kubwa. Natamani niapte mke kutoka mkoani.
Mambo ya pwani kupikiwa ngisi kabra ya mambo 👌
Au niolewe🤔
Nenda mkoani utapikiwa udaga😀😀
 
Mambo ya pwani kupikiwa ngisi kabra ya mambo [emoji108]
Au niolewe[emoji848]
Nenda mkoani utapikiwa udaga[emoji3][emoji3]
Mimi nimesomea mkoani vyakula vyao na vipenda sana na ni rahisi kuvinunua na ni vizuri kwa afya, imagine kuna mikoa sh 10,000 famila ya wawaida wanakula breakfast and lunch, jambo ambalo ni gumu hapa pwani.
 
Pwani tunapenda udambwi udambwi 😋
Hivyo vya kula vya mkoani sipendi sana mie labda kishumba😁
 
Back
Top Bottom