Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

Ni kweli, akipika wife najua, ila sina complications sijui apike yeye au si yeye, nakula sina shida. Uzuri dada nae sio haba jikoni.
Dada MashaAllah
Hongera nyumba yako hakuna palipolea 🫡
 
Nimekaa na mama Chibonge hapa. Huu uzi umenifanya nigeuke nimtazame
 
Kuna dada wa kazi alikua anapika yuke aisee...nilipenda sana akipika yye kwakweli
 
Back
Top Bottom