Ni kweli hasa aina ya chakula kwa mfano mimi pilau, samaki, au nyama akipika mke angu hata kabla ya kuhoja najua tu kwamba niyeye au mtu mgine kapika, ila nikikuta ugali mgumu najua moja kwa moja sio yeye ugali wake ni tepetepe siku zote unamshida kupikaKuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka.
Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna mnakariri utamu wa chakula kikipikwa na mtu fulani?
Kuna kisa niliwahi kusoma mtu akitoa ushuhuda kuwa yeye baba yake alikuwa anaweza kujua hadi chai kwa hii chai leo imechemshwa na watoto na si mke wake, na kukataa kunywa anamwambia mkewe akamkie tena ndio anakunywa anaridhika.
Hii ni kweli wanaume?
Mkeo aonekana MashaAllah jikoni 👌Ni kweli hasa aina ya chakula kwa mfano mimi pilau, samaki, au nyama akipika mke angu hata kabla ya kuhoja najua tu kwamba niyeye au mtu mgine kapika, ila nikikuta ugali mgumu najua moja kwa moja sio yeye ugali wake ni tepetepe siku zote unamshida kupika
Amka basi 😂Mimi mke wangu hajui kupika, lakini Radha ya chakula chake naifurahia sana,
Kwaiyo akipika mtu mwingine najua tu huu sio mkono wa wife.
Nipo ndotoni😎
Yes yesHii ikiwa mkeo ni hodari wa kupika ndio utajua,kwasababu upikaji una utambulisho wake msosi unakuwa amazing, na kama mkeo hajui kupika na siku ukala msosi amazing utajua huyu sio mkeo,ni njia hizo mbili tu,hakuna sayansi,intuition au uchawi,period
Ladha✔Mimi mke wangu hajui kupika, lakini Radha ya chakula chake naifurahia sana,
Kwaiyo akipika mtu mwingine najua tu huu sio mkono wa wife.
Nipo ndotoni😎
Ni mswahili wa pwani, ndo upishi wao mashaallah ila uvumilivu shida sana, hali makande, udaga nk. Sometime nichangamoto kubwa. Natamani niapte mke kutoka mkoani.Mkeo aonekana MashaAllah jikoni [emoji108]
Hongera kaka
Naam swadakta, ni ladhaLadha✔
Watu wa pwani hawaelewi udaga mkuu, labda Kanda ya ziwaNi mswahili wa pwani, ndo upishi wao mashaallah ila uvumilivu shida sana, hali makande, udaga nk. Sometime nichangamoto kubwa. Natamani niapte mke kutoka mkoani.
Mambo ya pwani kupikiwa ngisi kabra ya mambo 👌Ni mswahili wa pwani, ndo upishi wao mashaallah ila uvumilivu shida sana, hali makande, udaga nk. Sometime nichangamoto kubwa. Natamani niapte mke kutoka mkoani.
Mimi nimesomea mkoani vyakula vyao na vipenda sana na ni rahisi kuvinunua na ni vizuri kwa afya, imagine kuna mikoa sh 10,000 famila ya wawaida wanakula breakfast and lunch, jambo ambalo ni gumu hapa pwani.Mambo ya pwani kupikiwa ngisi kabra ya mambo [emoji108]
Au niolewe[emoji848]
Nenda mkoani utapikiwa udaga[emoji3][emoji3]
Pwani tunapenda udambwi udambwi 😋Mimi nimesomea mkoani vyakula vyao na vipenda sana na ni rahisi kuvinunua na ni vizuri kwa afya, imagine kuna mikoa sh 10,000 famila ya wawaida wanakula breakfast and lunch, jambo ambalo ni gumu hapa pwani.