wanapewa yote na anachepuka kawaida tuMpe hela, mpe mapenzi, mjali, Mfanye aione wa thamani.. Uone kama atakucheat.
Mwanamke ni kama uwa tu, usipolizingatia lazima uumie
Yaani hawawezi kutulia na mwanaume mmoja, ila wanatulia na hela tuu.Mpe hela, mpe mapenzi, mjali, Mfanye aione wa thamani.. Uone kama atakucheat.
Mwanamke ni kama uwa tu, usipolizingatia lazima uumie
Kwa hiyo unaingia kwenye Ndoa huku umeshajiandaa kwamba kuna siku sitapendwa tena?Upendo uisha, it's normal na amn kitu utafanya kuzuia
Ukweli ni kuwa mtu mwenye tamaa hawezi kutulia tu, hilo liko waziYaani hawawezi kutulia na mwanaume mmoja, ila wanatulia na hela tuu.
Mpe hela, mpe mapenzi, mjali, Mfanye aione wa thamani.. Uone kama atakucheat.
Mwanamke ni kama uwa tu, usipolizingatia lazima uumie
We kubali na kumwamini basi, timiza wajibu na majukumu yako, aki cheat its her choiceIli umlidhishe mwanamke ukubali kuwa na pesa ya kula dagaa na ulipe kodi maisha Yako yote .
Over.
Wenye pesa hawana mda na wenye mda hawana pesa. Mwanamke chagua pakwenda
ndiyo kito kachowabakiza ni watoto na umri wenu kuwa umeenda na hofu ya kugawana mali tuKwa hiyo unaingia kwenye Ndoa huku umeshajiandaa kwamba kuna siku sitapendwa tena?