Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Wakati watu wenye akili wanaonya kuwa siasa za kishamba alizo zianzisha magufuri zitakuwa na matokeo mabaya sana na athari ya muda mrefu kwa nchi hii,nyinyi wafuasi wake simlikuwa mnawajejeri na kuwatukana kwa kuwaita vyeti feki ,mafisadi sijui wapiga dili?
Sasa mnacho lalamika sasa hivi ni nini? tulieni hivyo hivyo mvune matunda ya mmea mlio umwagilia maji ukasitawi.
Mtu anaye jifanya kumkosoa samia hali yakuwa alikuwa mfuasi wa siasa za magufuri huwa namuona kama mjinga na mnafiki.
 
Wewe shida yako unataka tusifu yanayoendelea?
Kwa JPM tulipinga palipostahili kupingwa na tulisifu palipokuwa panastahili kusifiwa...
 
Muhimu sana sasa hivi mnakubali mliua ila tu mnatafuta sababu ya kujisafisha.

Kwa taarifa yako hiyo dhambi haisameheki, hii mnajua kabisa. Kuna watu walitumwa wawaambie mkawabeza, mkaanzisha msemo wa Nywi x3, mkatamba sana kwa majivuno, ati Mimi ndiyo amiri jeshi mkuu.

Siku hiyo mtaitwa mtaongeshwa na YeYe —- Angalia mlivyotamba mkasema Nywi Nywi Nywi, hata Mzee Warioba mwenye busura kuliko nyie alivyowaambia msikilize na kutoa haki, mkambeza….
Mlikuwa na muda mwingi wa kutekeleza haki lakini hamkutaka mkaendelea na majivuno.

Usiche na Mungu na usicheje na hayo maandishi.

I warn you, don’t abuse God, by quoting what you quoted from holy scriptures!

Jitahadhali sana
 
Na tunaingia kwenye mfungo wa Kwaresima/Ramadhan,Wala hawaoni aibu kutetea mauaji!
 
Mpuuzi wewe
Huu upuuzi wenu wa utekaji ulianzishwa na evil CCM na JKT. Victim wa kwanza alikua Ulimboka akaja Absolum Kibanda.

CCM pamoja na nyie wote lazima muwe reponsible siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…