Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Kwahiyo haya maneno waliambiwa watanganyika??
huna haja ya kubabaika na mambo ya vitabu vitakatifu gentleman,
kwasababu imeandikwa wazi kuhusu KUTII MAMALAKA ZA DUNIA,

Warumi 13.

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema
 
Kwa ufupi ni kweli alikutana na hali flani ya kutengwa.

Samia kwenye huo mkutano alikuwa na hali ngumu sana tokana na mazingira tu jinsi yalivyokuwa, ye mwenyewe baada ya kusoma mazingira vyema akaamua ajitenge kivyake vyake.


Habari za mauaji zimesambaa duniani kote, nimeona videos za vijana wengi Africa wakilaani kitendo cha mauaji Tanzania wakimtaja Samia.

Hivyo kwa kiongozi yeyote kuonekana yupo karibu nae ingeleta picha ambayo sio nzuri kwa wananchi wake au mgogoro, kwa Africa na dunia nzima.

Hizo siku atakuwa alipiga NYAGI za kutosha.
 
Mikosi na mabalaa havitakuacha, kwa huu ushenzi unaofanya.

Huwezi kusifu na kujitapa kwa mauaji yaliyotokea.

Umeamua mwenyewe kuwa sehemu ya dhambi na laana... na lazima vitakuwa nanyi...
calm down gentleman,
ukweli una tabia ya kukera sana ndugu mdau, lakini itabidi uzoee tu,
hizo poroja zingine nonsense na ni useless tu hata kwa wadau makini wa JF :1Head:
 
Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki :1Head:

Gentleman 😄
Na wewe heshimu nyuzi za watu kama wao wanavyoheshimu nyuzi zako

Punguza munkari
 
Gentleman 😄
Na wewe heshimu nyuzi za watu kama wao wanavyoheshimu nyuzi zako

Punguza munkari
hilo ni jambo la maana sana gentleman,
ndio maana kwenye nyuzi useless, binafsi maoni yangu hua ni mafupi mno napoona content ya uzi husika ni completely nonsense, na kiuhalisia katika haki ya kutoa maoni, comment yangu hua ni heshima kubwa sana dhidi ya uzi huo nonsense :1Head:
 
Punguza kuwa
Wakati watu wenye akili wanaonya kuwa siasa za kishamba alizo zianzisha magufuri zitakuwa na matokeo mabaya sana na athari ya muda mrefu kwa nchi hii,nyinyi wafuasi wake simlikuwa mnawajejeri na kuwatukana kwa kuwaita vyeti feki ,mafisadi sijui wapiga dili?
Sasa mnacho lalamika sasa hivi ni nini? tulieni hivyo hivyo mvune matunda ya mmea mlio umwagilia maji ukasitawi.
Mtu anaye jifanya kumkosoa samia hali yakuwa alikuwa mfuasi wa siasa za magufuri huwa namuona kama mjinga na mnafiki.


Punguza kuwa ZEZETA walau kidogo
 
Unajisikiaje kuwa chawa?
tuliza mihemko hasa ukifikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala dhidi ya maoni ya wadau wa JF,

Just relax gentleman otherwise utaanza kuporomosha matusi useless soon :1Head:
 
ikiwa uko pointless ni vizuri kurelax kuliko kumbwelambwela nonsense jukwaani, right gentleman? :1Head:
hahahhhahahaha! Sasa kati ya mimi na wewe nani anambwelambwela? We hata kwenye threads za kesi ya lisu huwa unambwelambwela kisa umelipwa buku 7 sasa ili ipande inabidi uonekane unafanya kazi ya uchawa kwa bidii!! Hahahahahhhaha! Ni shida tu mwanawane!
 
Wakati watu wenye akili wanaonya kuwa siasa za kishamba alizo zianzisha magufuri zitakuwa na matokeo mabaya sana na athari ya muda mrefu kwa nchi hii,nyinyi wafuasi wake simlikuwa mnawajejeri na kuwatukana kwa kuwaita vyeti feki ,mafisadi sijui wapiga dili?
Sasa mnacho lalamika sasa hivi ni nini? tulieni hivyo hivyo mvune matunda ya mmea mlio umwagilia maji ukasitawi.
Mtu anaye jifanya kumkosoa samia hali yakuwa alikuwa mfuasi wa siasa za magufuri huwa namuona kama mjinga na mnafiki.
Tulimpinga Magufuli tangu mwanzo, umesahau tulikuwa tunamuita dikteta uchwara.
 
Back
Top Bottom