Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Wewe shida yako unataka tusifu yanayoendelea?
Kwa JPM tulipinga palipostahili kupingwa na tulisifu palipokuwa panastahili kusifiwa...
Sio kweli nyinyi wafuasi wa Magufuri mlikuwa mnasifu kila kilicho kuwa kinafanywa na Magufuri kiufupi hamkuwa tofauti na machawa wa samia kwa sasa na mbaya zaidi mtu alikuwa akijaribu kukosoa mlikuwa mnamshambulia kwa matusi na kejeli.
 
Muhimu sana sasa hivi mnakubali mliua ila tu mnatafuta sababu ya kujisafisha.

Kwa taarifa yako hiyo dhambi haisameheki, hii mnajua kabisa. Kuna watu walitumwa wawaambie mkawabeza, mkaanzisha msemo wa Nywi x3, mkatamba sana kwa majivuno, ati Mimi ndiyo amiri jeshi mkuu.

Siku hiyo mtaitwa mtaongeshwa na YeYe —- Angalia mlivyotamba mkasema Nywi Nywi Nywi, hata Mzee Warioba mwenye busura kuliko nyie alivyowaambia msikilize na kutoa haki, mkambeza….
Mlikuwa na muda mwingi wa kutekeleza haki lakini hamkutaka mkaendelea na majivuno.

Usiche na Mungu na usicheje na hayo maandishi.

I warn you, don’t abuse God, by quoting what you quoted from holy scriptures!

Jitahadhali sana
Mwanzo walikuwa wanasema hakuna aliyeuwawa leo wanasema waliua kidogo, kuna siku watasema ukweli.
 
Sio kweli nyinyi wafuasi wa Magufuri mlikuwa mnasifu kila kilicho kuwa kinafanywa na Magufuri kiufupi hamkuwa tofauti na machawa wa samia kwa sasa na mbaya zaidi mtu alikuwa akijaribu kukosoa mlikuwa mnamshambulia kwa matusi na kejeli.
Hisoria yangu JF sikuwahi kuwa chawa wa kiongozi yeyote, kumradhi mkuu, kwenye maendeleo tulisifu, kwenye ukandamizaji wa demokrasia tulipinga...

Sina historia ya kuwa chawa, isitoshe umejiunga 2022..

Wewe ni chawa la Samia kindakindaki ambae unajificha nyuma ya siasa chafu na mauaji yanayoendelea kwa kulinganisha awamu iliyopita na hii.

Kikubwa unachukia sana kuona serikali ya Samia inachukiwa na kila mmoja... nyie ndio wale mlipiga madili na kutumia vyeti fake makazini, katika hilo JPM aliwanyoosha na nilimsifu.

Pole sana kiongozi, ni miaka sasa imepita na JPM ameshafariki, just move on...
 
Mpuuzi wewe
Huu upuuzi wenu wa utekaji ulianzishwa na evil CCM na JKT. Victim wa kwanza alikua Ulimboka akaja Absolum Kibanda.

CCM pamoja na nyie wote lazima muwe reponsible siku hiyo
Kwani ni uongo kuwa Magufuli ndo kiongozi pekee aliye funga mikutano ya vyama vya siasa zaidi ya miaka 5 huku ccm ikiendelea kufanya kama kawaida?.
Sio kweli kuwa ndo aliye funga bunge kuoneshwa live?
Kwani uongo kuwa kipindi chake ndo waandishi wa habari walipitia kipindi kigumu mpaka wakalazimika kuwa walamba miguu ya serikali?
Kwani uongo hakuhonga wapinzani ili wahamie ccm?
Ya kwamba sio kweli kuwa ndo aliye anzisha utaratibu wa kupita bila kupingwa na kuhakikisha bunge lote linakuwa ccm?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hateki na kuuwa wapinzani ?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani tena kwa kutamka kwa kinywa chake?
Hivi kwa aina ya hizi siasa unategea nini zaidi ya kupandikiziana chuki na visasi?
 
hahahhhahahaha! Sasa kati ya mimi na wewe nani anambwelambwela? We hata kwenye threads za kesi ya lisu huwa unambwelambwela kisa umelipwa buku 7 sasa ili ipande inabidi uonekane unafanya kazi ya uchawa kwa bidii!! Hahahahahhhaha! Ni shida tu mwanawane!
Gentleman,
jikite kwenye hoja ya msingi mezani sio kubabaika na kuweweseka na hoja zingine zisizohusika na mjadala huu,
ni muhimu sana kujisitiri kuliko kujitambulisa jukwaani kwamba umefikia ukomo wako wa fikra mapya na mawazo mbadala, kwa kifupi uko pointless empty head,

ni heshima kupumzika na kujifunza kwa wengine namna ya kuibua hoja :1Head:
 
Tulimpinga Magufuli tangu mwanzo, umesahau tulikuwa tunamuita dikteta uchwara.
Wapo chawa wa magufuri humu na wanajulika akiwemo huyo niliye mjibu yaani wao kila kilicho kuwa kinafanywa na magufuri kwao kilikuwa sahihi alafu leo hii wanajifanya kuchukia mambo ambayo walikuwa wanayashangilia kipindi cha Magufuri.
 
Samia mwenyewe si alisema ana chawa wake, sasa cha ajabu kipi nikisema we ni chawa?
cha ajabu ni kwamba,
mtu makini kama wewe eti wamekupima kisaikolojia na wakaona wakuingize kwenye kundi la mamaluku malofa zaidi wa huyo muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

hili limewashangaza wadau wengi sana wa JF wanaokufahamu :pedroP:
 
Kwani ni uongo kuwa Magufuli ndo kiongozi pekee aliye funga mikutano ya vyama vya siasa zaidi ya miaka 5 huku ccm ikiendelea kufanya kama kawaida?.
Sio kweli kuwa ndo aliye funga bunge kuoneshwa live?
Kwani uongo kuwa kipindi chake ndo waandishi wa habari walipitia kipindi kigumu mpaka wakalazimika kuwa walamba miguu ya serikali?
Kwani uongo hakuhonga wapinzani ili wahamie ccm?
Ya kwamba sio kweli kuwa ndo aliye anzisha utaratibu wa kupita bila kupingwa na kuhakikisha bunge lote linakuwa ccm?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hateki na kuuwa wapinzani ?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani tena kwa kutamka kwa kinywa chake?
Hivi kwa aina ya hizi siasa unategea nini zaidi ya kupandikiziana chuki na visasi?
Ni kweli alifanya hayo..
Angekuwepo na yeye angewajibika kwa alichofanya, ameshafariki...
Je kuna rais wa Tanzania alishaua raia wake 10,000 kwa siku 3?
Je Katika kipindi chake umefanyika ufisadi wa kutisha kama sasa?

Samia angemaliza muda wake hio miaka mitano akatulia na mabaya yote aliyofanya watu wangesahau na kuendelea na maisha, wala kusingekuwepo masuala ya kupelekana ICC wala kutukanana.

Samia amelazimisha kuongeza muda hali ya kuwa wananchi hawamtaki, na hapo ndipo vurugu zilipoanza...

Hata JPM kwa siasa za kukandamiza demokrasia angeendelea nazo miaka mingine mitano lazima angekutana tu upinzani mkali..
 
Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki :1Head:
Jentoman hakuna haja ya kupanic unachotakiwa ni kuleta picha akiwa na maraisi wenzake. Au wakati wanapiga Picha yeye alikuwa na deputy wa ICC?
 
Bi chura ni muuaji kaua watoto wasio na hatia
ananuka damu sio tu kupiga nae picha hata kumsogelea tu unapata laana!
 
Hivi lile mama lishirikina kutoka Uganda ambaye ndio aliongoza Team ya waangalizi wa EAC sasa hivi anajisikiaje baada ya kupiga vigeregere siku Samia anatangwa ushindi wa maigizo wa 97%?
Yule ni mjinga tu, yaani watu wamekufa yeye anapiga vigelegele
 
cha ajabu ni kwamba,
mtu makini kama wewe eti wamekupima kisaikolojia na wakaona wakuingize kwenye kundi la mamaluku malofa zaidi wa huyo muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

hili limewashangaza wadau wengi sana wa JF wanaokufahamu :pedroP:
Mimi ni mpigania haki...

Watu wanawashangaa ninyi mnaomtetea muuaji...
Wana JF wanajiuliza mnalipwa ? au mna maslahi binafsi huko CCM?
 
Back
Top Bottom