Sasa mwajisikiaje kuona kila baya mnalomwombea halimfiki zaidi ya kufarijiana tu. Msichokijua ni kwamba Samia ataondoka lkn je ndo ndo mtakuwa mmefikia malengo wakt CCM bado iko madarakani?Kabisaa, sie daima tunamuombea baya lolote limkute iwe kutengwa, kufwariki, ajali nk nk