Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kajiabisha...ni kama alikuwa anapima upepo...Angejua angemtuma Nchimbi!
Kajiabisha...ni kama alikuwa anapima upepo...Angejua angemtuma Nchimbi!
Bora kuwa kibaraka(chawa) wa mafisadi, wafiraji, watekaji na wauaji kama ulivyo wewe?cha ajabu ni kwamba,
mtu makini kama wewe eti wamekupima kisaikolojia na wakaona wakuingize kwenye kundi la mamaluku malofa zaidi wa huyo muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,
hili limewashangaza wadau wengi sana wa JF wanaokufahamu![]()
AstakafuliahKuna mali mbichi hapa itakufaa?View attachment 3545669
Habari hapa ni kutengwa, haihusiani na kuachia urais na wala mleta mada hakulenga kwenye kuachia urais. The humiliation she experienced was a slap on her face that will definitely torment her for the rest of her life.Uko vizr kwenye kutaftiza vijihabari. So baada ya kutengwa ndo kaachia URais!?
Weka ambazo alikuwepo, wenzako wamekuja na visingizio eti hakuwa na muda wa kupiga picha kwa sababu ya ubize.Mmechagua picha ambazo hayupo mkazipost hapa.
i'm sorry gentleman,Bora kuwa kibaraka(chawa) wa mafisadi, wafiraji, watekaji na wauaji kama ilivyo wewe?

Mbona hakuna tofauti ya majihuWeka ambazo alikuwepo, wenzako wamekuja na visingizio eti hakuwa na muda wa kupiga picha kwa sababu ya ubize.
Was this for real?
Was this for real?
Siyo kweli.
Majihu? What exactly do you mean?Mbona hakuna tofauti ya majihu
ukitaka usiwe mamluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ni muhimu kuondokana mihemko ya kinyumbu na kuandika mabandiko yaliyojaa porojo na uzushi wa kutafuta tension na public sympathy, vitu ambavyo ni nonsense kabisa![]()
Wewe zilete hizo ambazo yumo unazodai zimeachwa ili u-debunk hii issueMbona hakuna tofauti ya majihu
Na wote kwa pamoja tuseme AmenMikosi na mabalaa havitakuacha, kwa huu ushenzi unaofanya.
Huwezi kusifu na kujitapa kwa mauaji yaliyotokea.
Umeamua mwenyewe kuwa sehemu ya dhambi na laana... na lazima vitakuwa nanyi...
AnanukaHakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Na badoo utaenda jela naye ukisema nonsense this is ridiculous tetea tu shuwainnonsense
Waziri salum anasemaje?!Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562