Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
James delicious🙆🏽♀️
James delicious🙆🏽♀️
Kuna mali mbichi hapa itakufaa?Imagine napata limshangazi First lady
Mishangazi mnaipatapateje
Nami naipatapateje
utapigani haki gani wewe gentleman,Mimi ni mpigania haki...
Watu wanawashangaa ninyi mnaomtetea muuaji...
Wana JF wanajiuliza mnalipwa ? au mna maslahi binafsi huko CCM?

Haaaa mkuu usipaniki mm magufuri anaingia madarakani nina miaka 18 na ameondoka madarakani nikiwa na miaka 23 hizo dili nilizipigia wapi ?Hisoria yangu JF sikuwahi kuwa chawa wa kiongozi yeyote, kumradhi mkuu, kwenye maendeleo tulisifu, kwenye ukandamizaji wa demokrasia tulipinga...
Sina historia ya kuwa chawa, isitoshe umejiunga 2022..
Wewe ni chawa la Samia kindakindaki ambae unajificha nyuma ya siasa chafu na mauaji yanayoendelea kwa kulinganisha awamu iliyopita na hii.
Kikubwa unachukia sana kuona serikali ya Samia inachukiwa na kila mmoja... nyie ndio wale mlipiga madili na kutumia vyeti fake makazini, katika hilo JPM aliwanyoosha na nilimsifu.
Pole sana kiongozi, ni miaka sasa imepita na JPM ameshafariki, just move on...
Hivi ni kweli anagombea?Kuna mali mbichi hapa itakufaa?View attachment 3545669
Huyo anayefanana naye kidogo mwenye remba jekundu na miwani, ndiye Rais wa Namibia?Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Hiyo ni A I au ni kitu realy?
Ratiba ya Dr.Samia Suluhu Hassan akiwa AU ni tyty kuliko akiwa kazini kwake Tanzania ikulu ya chamwino au magogoni. Muda na ratiba ya kujumuika na hao mnao wataja hakua nayo kabisa, kwasababu ya ubize wa majukumu alionayo kwenye kamati na tume mbalimbali za jumuiya hiyo.Jentoman hakuna haja ya kupanic unachotakiwa ni kuleta picha akiwa na maraisi wenzake. Au wakati wanapiga Picha yeye alikuwa na deputy wa ICC?

Ndio maana nasema umejiunga JF 2022, na isitoshe umesema mwenyewe 2015 ulikuwa na miaka 18...Haaaa mkuu usipaniki mm magufuri anaingia madarakani nina miaka 18 na ameondoka madarakani nikiwa na miaka 23 hizo dili nilizipigia wapi ?
Alafu ww kama ulikuwa unasifu kwenye mazuri na kukosoa kwenye mabaya huyo ni ww na sio wachawa wa Magufuli tunawajua na ID zao zinajulikana .
Alafu ww kama sio mnafiki ulivyo kuwa unamsifu magufuri kwenye mazuri na kumkosoa kwenye mabaya mbona kwa samia hufanyi hivyo badala yake unaongelea upande wa mabaya yake tu?
Kuhusu mm kwanza shughuli zangu ni mbali mbali na wana siasa na sijuani na mwana siasa hata wa levo ya kijiji achana na huyo samia.
Mimi ninacho kataa ni unafiki mfano unakuta mtu alikuwa anashangilia lisu kupingwa risasi alafu leo hii anakenua meno kwa kujifanya eti anaumizwa na lisu kukaa jela, au alishangilia kutekwa kwa Ben sanane lakini leo eti anaumizwa na kutekwa kwa polepole huo ni unafiki ulio vuka mipaka.
James Delicious ni mwana UVCCM.Huyo anayefanana naye kidogo mwenye remba jekundu na miwani, ndiye Rais wa Namibia?
Hiyo ni A I au ni kitu realy?
Mambo ya UVCCM..James delicious🙆🏽♀️
Kama ni kweli haya mambo yanaenda kubaya sana! Tutachomwa vibaya aisee..😭Mambo ya UVCCM..
Kama MTU aliua raia wake atawhundwa kujua Marais, wakamkimbiaWatawezaji kukaa na muuaji wa maelfu ya watu wakati sifa kuu ya mwanamke n kuleta kiumbe kipya duniani.
Ndo maana kipindi magufuri anaanzisha hizi siasa za kibabe watu wengi wanao ona mbali walionya kuwa siasa hizo zitakuwa athari ya muda mrefu kwa taifa. wakiwa wanamaanisha kuwa JPM ameonesha mfano mbaya kwa viongozi wajao kwa kuwaonesha kuwa kumbe inawezekana kuitawala Tz kibabe,kidkiteta,na hata kwa kukanyaga katiba unavyo taka na usiweze kufanywa chochote.Ni kweli alifanya hayo..
Angekuwepo na yeye angewajibika kwa alichofanya, ameshafariki...
Je kuna rais wa Tanzania alishaua raia wake 10,000 kwa siku 3?
Je Katika kipindi chake umefanyika ufisadi wa kutisha kama sasa?
Samia angemaliza muda wake hio miaka mitano akatulia na mabaya yote aliyofanya watu wangesahau na kuendelea na maisha, wala kusingekuwepo masuala ya kupelekana ICC wala kutukanana.
Samia amelazimisha kuongeza muda hali ya kuwa wananchi hawamtaki, na hapo ndipo vurugu zilipoanza...
Hata JPM kwa siasa za kukandamiza demokrasia angeendelea nazo miaka mingine mitano lazima angekutana tu upinzani mkali..
Hata sijuiHivi ni kweli anagombea?
Mkuu mm nimejiunga jf mwaka 2017 ila nikiwa na miaka 20 ila ID ikawa na matatizo nikalazimika kufungua nyingine mwaka 2022 hivyo mm ni wa kitambo.Ndio maana nasema umejiunga JF 2022, na isitoshe umesema mwenyewe 2015 ulikuwa na miaka 18...
Hakuna mtu mwenye akili timamu alifurahia kitendo cha LIssu kupigwa risasi, hakuna mtu mwenye akili timamu alifurahia Ben Sanane kupotezwa...
Kaa ukitambua kwamba binadamu huwa anachoka, na hadi achoke at maxmum level inachukua muda...
Samia wakati wake awamu ya kwanza watu wametekwa wengi na kuuawa wengi kuliko wakati wa JPM, kilichokuja kuwaudhi zaidi Watanzania ni mauaji ya OCT 29...
Na yote hayo ni kulazimisha uongozi...
Hivyo kusema tunaponda awamu ya Samia na kusifu awamu ya JPM si kweli...
Ndio maana nakuambia Samia angestaafu kama marais wengine na maisha yangeendelea licha ya awamu yake kuvunja rekodi ya utekaji, lakini Watanzania walishasahau na wakaona maisha yasonge...Mkuu mm nimejiunga jf mwaka 2017 ila nikiwa na miaka 20 ila ID ikawa na matatizo nikalazimika kufungua nyingine mwaka 2022 hivyo mm ni wa kitambo.
Mm sijasema kuwa kila anaye mkosoa samia basi alikuwa mfuasi wa jpm bali mm nawaongelea wale walio kuwa wana sifu vitendo vya utekaji kipindi cha Magufuri alafu wanajifanya kukemea utekaji wa sasa.
Mkuu mimi sisemi kitu kwa kubahatisha bali nasema kitu ambacho nina uhakika nacho zipo ID kibao humu zilikuwa zina shabikia kila aina ya upuuzi ulio kuwa unafanyika kipindi hicho ila sasa hivi zinajifanya kukosoa walicho kuwa wanashangilia wakati huo.
Raha aitoe wapi, Kombo kaambiwa ICC inasubiri majibu ya summons waliyopewa.Ndiyo maana mama alirudi mnyonge sana akaenda zake Kizimkazi straight