Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Habari hapa ni kutengwa, haihusiani na kuachia urais na wala mleta mada hakulenga kwenye kuachia urais. The humiliation she experienced was a slap on her face that will definitely torment her for the rest of her life.
Baaas! Hapo wenyewe ndo mmeridhiiika, mmefuraahi.
 
Raisi wa nchi hana muda wa kukaa na wake wa maraisi, ni kujishusha hadhi
Alifanya jambo la maana sana kutohudhuria hiko kikao cha kusutana na umbea
 
Hakuna maajabu. Watu wengi tumewatenga hata ndugu zetu waliopo kwenye system hata kama hatujui wamehusika direct au lah.
 
Raisi wa nchi hana muda wa kukaa na wake wa maraisi, ni kujishusha hadhi
Alifanya jambo la maana sana kutohudhuria hiko kikao cha kusutana na umbea
Nani kasema wake wa marais.
 
Ni kweli, nani anaweza kukubali kuongea na muuaji wa watu 10,000 na zaidi? Nuksi

Jiulize mwenyewe wewe ukisikia mtu kaua utakua hata na nguvu za kuongea naye?

Jiulize “critically”
Yoweri Kaguta Museveni mfuniko kakutana pipa ila Hichilema kagoma, Msumbiji hapo na Malawi wamekula ganzi hawataki kabisa kusikia internet inapaza sauti vibaya sana
 
Na badoo utaenda jela naye ukisema nonsense this is ridiculous tetea tu shuwain
calm down my lady especially when you are pointless,

nonsense mayhem are completely useless in discussing crucial issues for the prosperous of our very beautiful land mama Tanzania:1Head:
 
Yoweri Kaguta Museveni mfuniko kakutana pipa ila Hichilema kagoma, Msumbiji hapo na Malawi wamekula ganzi hawataki kabisa kusikia internet inapaza sauti vibaya sana
Sasa hivi ni kutafuta habari mbaya dhidi ya serikali na nchi yenu kisha kufurahia,mmafurahia hadi 'habari' za jwtz kuuawa Congo
Vyama vingi vifutwe,vinagawa taifa na kuzalisha vibaraka
 
Sasa hivi ni kutafuta habari mbaya dhidi ya serikali na nchi yenu kisha kufurahia,mmafurahia hadi 'habari' za jwtz kuuawa Congo
Vyama vingi vifutwe,vinagawa taifa na kuzalisha vibaraka
Mkuu huelewi kuwa watu waliujenga umoja na heshima ya nchi.
Watu wengine wakaja wakabomoa umoja na heshima ya nchi.
Vyama siyo vinayobomoa nchi, wanaoshindwa Congo si vyama
Kashfa za serikalini na ufisadi si suala la vyama
Upungufu wako wa kufikiri si suala la vyama!!
 
Kwa ufupi ni kweli alikutana na hali flani ya kutengwa.

Samia kwenye huo mkutano alikuwa na hali ngumu sana tokana na mazingira tu jinsi yalivyokuwa, ye mwenyewe baada ya kusoma mazingira vyema akaamua ajitenge kivyake vyake.


Habari za mauaji zimesambaa duniani kote, nimeona videos za vijana wengi Africa wakilaani kitendo cha mauaji Tanzania wakimtaja Samia.

Hivyo kwa kiongozi yeyote kuonekana yupo karibu nae ingeleta picha ambayo sio nzuri kwa wananchi wake au mgogoro, kwa Africa na dunia nzima.
Mzambia kitendo Cha kuja kumpongeza tu alipo ludi kwao alipigwa mawe na wazambia
 
Back
Top Bottom