Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

Kabisaa, sie daima tunamuombea baya lolote limkute iwe kutengwa, kufwariki, ajali nk nk
Sasa mwajisikiaje kuona kila baya mnalomwombea halimfiki zaidi ya kufarijiana tu. Msichokijua ni kwamba Samia ataondoka lkn je ndo ndo mtakuwa mmefikia malengo wakt CCM bado iko madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…