Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Si jaona mwenye hadhi ya kuwa Speaker na Waziri mkuu hapoBunge lijalo spika ni mwanamke zamu ya Halima Mdee waziri mkuu mwanamke Esta Bulaya Massele atakua spika kivuli.
Japo kushinda hamtashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si jaona mwenye hadhi ya kuwa Speaker na Waziri mkuu hapoBunge lijalo spika ni mwanamke zamu ya Halima Mdee waziri mkuu mwanamke Esta Bulaya Massele atakua spika kivuli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilimo gani Ndugai amesoma? Labda Kilimo cha viwavijeshi!
Nyakati zinamkataa Job!Si dhani kama JPM anaweza kufanya mabadiriko ya Speker, sababu ni kama ifuatavyo:
JPM humkubali sana Ndugai, na sababu inayopelekea JPM kumkubali kupita kiasi ni kuwa Ndugai kalidhibiti bunge, bunge la Ndugai halikuyumbishwa na wapinzani kama la Mama Anna Makinda, Mama Anna Makinda aliyumbishwa mno (japo huyu mama JPM humpendaga ndio mana yuko NHIF)....Bunge likiyumba na serikali inakuwa matatani (huoni hata Marekani Trump anavyoyumbishwa)
Chadema hats wabunge 10 haipati sasa itaundaje serikali?!Serikali ijayo ni serikali ya CHADEMA, CCM na magufuli must go.
Kumbe awamu ya tano ndo haithamini kilimo kwa kiwango hicho?..... Ktk uongoz, ndugai is good for nothing.Inaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.
Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.
Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
CHADEMA ndio Serikali ijayo, Subiri tarehe 28 oct utapata majibu yako vizuri.Chadema hats wabunge 10 haipati sasa itaundaje serikali?!
Basi huijui katiba bwashee!Ni katiba ipi hiyo inayosema spika hatatokana na bunge?..si hii ya Tz. Navyo jua mimi spika lazima atokane na bunge naye awe mbunge wa JMT.
Hao "wanandoa wawili" tayari mmeshawapa vyeo? Chadema mnapenda hayo Mambo yenu.Bunge lijalo spika ni mwanamke zamu ya Halima Mdee waziri mkuu mwanamke Esta Bulaya Massele atakua spika kivuli.
Natafuta mtu wakuweka nae dau mie nauhakika CCM itashinda ngazi ya urais wa Tanzania, urais wa Zanzibar sijui.
Kama kuna mtu hajui Kama Magufuli atashinda Huyo atakua anaongea siasa sio uhalisia.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.
Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa Bunge siyo lazima awe Mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.
Tetesi nilizopewa na kada mkongwe Mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.
Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa Waziri wa Kilimo ambako amebobea kitaaluma.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
CCM hashindi, labda kama mnataka kuua watu mwende ICC!
BASI WASILALIE BAHATI YA WENZAO, LISU IS ANOTHER ANGLE ALTOGETHER!ICC sio ya kila mtu Boss,ukiwa na pesa hupelekwi huko, laurent kabila na mwanaye waliua wakimbizi na raia maelfu lakini hawakuwahi kushtakiwa waliishiwa kutolewa ma tamko tu na UN
Ndio kilimo chenyewe hicho bwashee!Ndugai hana taaluma ya kilimo...
Taaluma ya ndugai ni Wanyama pori ameipata Mweka.