Je, ni kweli Spika wa Bunge lijalo anaweza kuwa Stephen Masele na Ndugai kuwa Waziri wa Kilimo?

Je, ni kweli Spika wa Bunge lijalo anaweza kuwa Stephen Masele na Ndugai kuwa Waziri wa Kilimo?

Serikali ijayo ni serikali ya CHADEMA, CCM na magufuli must go.
 
Si dhani kama JPM anaweza kufanya mabadiriko ya Speker, sababu ni kama ifuatavyo:
JPM humkubali sana Ndugai, na sababu inayopelekea JPM kumkubali kupita kiasi ni kuwa Ndugai kalidhibiti bunge, bunge la Ndugai halikuyumbishwa na wapinzani kama la Mama Anna Makinda, Mama Anna Makinda aliyumbishwa mno (japo huyu mama JPM humpendaga ndio mana yuko NHIF)....Bunge likiyumba na serikali inakuwa matatani (huoni hata Marekani Trump anavyoyumbishwa)
Nyakati zinamkataa Job!
 
CCM badala ya kujibu hoja wao wameshaanza kugawana vyeo... ni maajabu makubwa kabisa haya.
 
Ni katiba ipi hiyo inayosema spika hatatokana na bunge?..si hii ya Tz. Navyo jua mimi spika lazima atokane na bunge naye awe mbunge wa JMT.
 
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa bunge siyo lazima awe mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.

Tetesi nilizopewa na kada mkongwe mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.

Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa waziri wa kilimo ambako amebobea kitaaluma.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe awamu ya tano ndo haithamini kilimo kwa kiwango hicho?..... Ktk uongoz, ndugai is good for nothing.
 
Natafuta mtu wakuweka nae dau mie nauhakika CCM itashinda ngazi ya urais wa Tanzania, urais wa Zanzibar sijui.
Kama kuna mtu hajui Kama Magufuli atashinda Huyo atakua anaongea siasa sio uhalisia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Natafuta mtu wakuweka nae dau mie nauhakika CCM itashinda ngazi ya urais wa Tanzania, urais wa Zanzibar sijui.
Kama kuna mtu hajui Kama Magufuli atashinda Huyo atakua anaongea siasa sio uhalisia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app

Huko Zanzibar tokea 1995 CCM ilishawahi kushinda zaidi ya kulazimisha ushindi?

Mwaka huu huku bara kwenye hali ni tete,na kule Zanzibar mmempeleka yule kipenzi cha wana Mkurunga yaani Maalim Seif anashinda kwa kimbunga. Polisi watabaki bara huku kulazimisha ushindi wa Magufuli hivyo Zanzibar mnaipoteza kilaini.
 
Hivi hamuelewi nyie mataga? Chama Tawale Tanzania 2020 - 2025 ni Chadema.

Huyo masele awe spika kivipi? Ndugai awe waziri serikali ya wapi?
JamiiForums-1558112830.jpg
 
Inaeleweka wazi kwamba Spika wa Bunge siyo lazima awe Mbunge, hivyo Stephen Massele na Andrew Chenge wanaweza kugombea uspika.

Tetesi nilizopewa na kada mkongwe Mzee Mgaya ni kwamba kuna uwezekano mkubwa zamu hii Spika akatoka nje ya kundi la wabunge kama tulivyozoea.

Na kwamba Spika wa sasa anaandaliwa kuwa Waziri wa Kilimo ambako amebobea kitaaluma.

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!

Nani amekutanganya kuwa baraza la mawazi litaundwa na ccm ???
 
CCM hashindi, labda kama mnataka kuua watu mwende ICC!

ICC sio ya kila mtu Boss,ukiwa na pesa hupelekwi huko, laurent kabila na mwanaye waliua wakimbizi na raia maelfu lakini hawakuwahi kushtakiwa waliishiwa kutolewa ma tamko tu na UN
 
Ndugai hana taaluma ya kilimo...
Taaluma ya ndugai ni Wanyama pori ameipata Mweka.
 
ICC sio ya kila mtu Boss,ukiwa na pesa hupelekwi huko, laurent kabila na mwanaye waliua wakimbizi na raia maelfu lakini hawakuwahi kushtakiwa waliishiwa kutolewa ma tamko tu na UN
BASI WASILALIE BAHATI YA WENZAO, LISU IS ANOTHER ANGLE ALTOGETHER!
 
Mara paaaaap Spika kawa January Makamba au Charles Tizeba

Lazma kuna mtu aombe po
 
Back
Top Bottom