Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,456
- 1,366
Portugal wenyewe kwani wanasemaje??Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
👉 Ni kina nani hao?
👉 Na wanafaidika na nini?
👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?
👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂
👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅
Nauliza tu wakuu...
Hii dunia ina mambo mengi sana mkuu! Ngoja tuoneWakuu!

Kumbe wanatupanga maana niliona walitabiri hadi ushindi Trump.Huo upuuzi wa The Simpsons hua n wa kutengeneza tuu, hakuna toleo lolote la hiyo katuni yenye kutabiri mambo mengi kama inavyosemwa
Mkuu mimi ni Team Messi nahofia sana kama hii ikiwa kweli wapi nitaweka sura yangu.Hii dunia ina mambo mengi sana mkuu! Ngoja tuone
Kwa nini wafanye mazoezi wakati ubingwa ni wao tu au wanatuzuga?Portugal wenyewe kwani wanasemaje??
Acha wasiwasi, Port akichukua amechukua sababu amechukua anashiriki ili achukue.Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika “The Cartridge Family” (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
👉 Ni kina nani hao?
👉 Na wanafaidika na nini?
👉 Hizi timu nyingine 47 hazijui?
👉 Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? 😂😂😂
👉 Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?😅
Nauliza tu wakuu...
Utakuta na wewe ilipangwa uje ukomenti hivyo.Utakuta mleta mada shemej yake anamuamini kabsa na kumpa wanae awapeleke stend wakasubirie school bus
Tujitahidi kushare ili tuwazindue wavuja jasho bila sababu.Tuwasambazie link ya jf au sio 😂😂😂
Tukienda kukomenti kwenye pages zao kwa wingi wataona.😂😂😂Wanaijua sasa..?
Lakini wale vikatuni wanasifiwa kwa kutabiri vitu vingi migo.Acha wasiwasi, Port akichukua amechukua sababu amechukua anashiriki ili achukue.
La muhimu ni Port akichukua, amechukua sababu ameshindana akashinda na si sababu ya katuni za utabiri.Lakini wale vikatuni wanasifiwa kwa kutabiri vitu vingi migo.
Vipi kama kuna mbinu zinatumika kuhakikisha wanayemtaka anakuwa bingwa?La muhimu ni Port akichukua, amechukua sababu ameshindana akashinda na si sababu ya katuni za utabiri.
N wahuni wamekaa tuu wanapanga kutumia hizo katuni Ila matoleo halisi za hizo katuni hazina hizo ishu kabisa.Kumbe wanatupanga maana niliona walitabiri hadi ushindi Trump.
Hapo sasa naanza kukuelewa nitafanya utafiti zaidi.N wahuni wamekaa tuu wanapanga kutumia hizo katuni Ila matoleo halisi za hizo katuni hazina hizo ishu kabisa.
Mbinu za ushindi zipo uwanjani dk 90 au dk 120.Vipi kama kuna mbinu zinatumika kuhakikisha wanayemtaka anakuwa bingwa?
Nazidi kufuatilia.Mbungi inapigwa uwanjani na macho ya majasus toka uk,german,france,usa na mataifa mengine yapo yanamulika kila atua ya mechi ivyo kupanga matokeo ya bingwa wadunia kabla ata atua ya 32 bora bado ni ngumu pia ukisema mambo ya adidas na nike bado ni ngumu maana timu za taifa zina macho mengi kuliko vilabu
Eti wanataka kumpa Ronaldo kombe la bure.😂Hizo ni tetesi na fununu tu
Usihofu Mkuu inawezekana ikawa kweli,tunza huu UziLakini wale vikatuni wanasifiwa kwa kutabiri vitu vingi migo.