mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sioni Cha maana ulichouliza.mkuu twende taratibu na ujibu kwa hoja kama ambavyo me nimekuuliza kwa hoja, haya Unaonaje kwanza ukijibu maswali yangu ili namie nikuone kama AKILI UNAZO then namie ukifikia wakati wa kujibu maswali yako nitajibu ili uone kama AKILI NINAZO
Mkuu mbona unaruka ruka na kupayuka hovyo tu na mwisho wake wewe ndio utaonekana hutumii akili, inawezekana una hoja za maana hebu punguza mihemko Kisha tujadiri kwa hoja mbona rahisi tu, jibu kwanza maswali yangu ya msingi achana na haya unayorukia hivi sasa, Kwani GSM ndio mdhamini mwenza wa kwanza katika ligi hii unaemjua wewe? Uliwahi kuona mwingine amekaa kwenye jersey moja na Mdhamini mkuu? Hebu acha utoto basi ili twende sambambaGSM ni kampuni ya kibiashara sio club ya MPIRA.
Yupo kimaslahi na kibiashara.
Amedhamini udhamini mwenza wa LIGI.
sio udhamini mwenza wa TIMU YA SIMBA
kwani hyo nembo ya GSM watavaa Simba Peke yao?
ushabiki wenu wa Simba na yanga una wahusu nini GSM?
Nisinunue bidhaa ya GSM kisa GSM anawadhamini yanga?
"MUWE MNATUMIA AKILI"
msiwe Kama utopolo.
Unaweza kunipa sababu ya Simba kukataa kuvaa nembo ya GSM?Mkuu mbona unaruka ruka na kupayuka hovyo tu na mwisho wake wewe ndio utaonekana hutumii akili, inawezekana una hoja za maana hebu punguza mihemko Kisha tujadiri kwa hoja mbona rahisi tu, jibu kwanza maswali yangu ya msingi achana na haya unayorukia hivi sasa, Kwani GSM ndio mdhamini mwenza wa kwanza katika ligi hii unaemjua wewe? Uliwahi kuona mwingine amekaa kwenye jersey moja na Mdhamini mkuu? Hebu acha utoto basi ili twende sambamba
Hebu ficha ujinga wako basi, unajua ata maana ya Kampuni au unalopoka tu? Kwamba club ya mpira haiwezi kuwa kampuni? Kijana shule ipi imekulisha matango pori, hujui kama Yanga ipo kwenye mchakato wa kwenda kuwa kampuni kama ilivo kwa Simba?Sioni Cha maana ulichouliza.
Kama ungejua tofauti ya KAMPUNI NA CLUB YA MPIRA.
Ningekuona kidogo umeelimika.
GSM ni kampuni.
Yanga ni club ya MPIRA.
Yanga Hana hisa yoyote katika kampuni ya GSM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].yanga ni kampuni?Hebu ficha ujinga wako basi, unajua ata maana ya Kampuni au unalopoka tu? Kwamba club ya mpira haiwezi kuwa kampuni? Kijana shule ipi imekulisha matango pori, hujui kama Yanga ipo kwenye mchakato wa kwenda kuwa kampuni kama ilivo kwa Simba?
Nikupe sababu mara ngapi Mkuu? Hivi umesoma na kuelewa kweli quote yangu ya kwanza kwako au hujaelewa ndomana unaendelea kuruka ruka tu, sababu ziko hapo juu rudi kazisome then uje tuendeleeUnaweza kunipa sababu ya Simba kukataa kuvaa nembo ya GSM?
nimekuuliza upya Nina maana yangu.Nikupe sababu mara ngapi Mkuu? Hivi umesoma na kuelewa kweli quote yangu ya kwanza kwako au hujaelewa ndomana unaendelea kuruka ruka tu, sababu ziko hapo juu rudi kazisome then uje tuendelee
Maskini ya Mungu kumbe najadili na mtu ambae ata hana uelewa, anyway kutokujua kitu sio dhambi, dhambi ni kukataa kujifunza so una muda wa kutosha mkuu wa kwenda kujifunza kampuni ni nini na Kwanini Yanga bado hatua kadhaa ikawe kampuni kutokana na kubadiri mfumo wa uendeshaji wa club[emoji1787][emoji1787][emoji1787].yanga ni kampuni?
na GSM ni club ya MPIRA?
Kwahiyo unataka upate jibu jipya sio tofauti na ambalo nimekupa, kwahiyo ulikuja na majibu yako kwenye chumba cha mtihaninimekuuliza upya Nina maana yangu.
jibu ukishindwa Safari njema.
yanga ni kampuni ya nini?Maskini ya Mungu kumbe najadili na mtu ambae ata hana uelewa, anyway kutokujua kitu sio dhambi, dhambi ni kukataa kujifunza so una muda wa kutosha mkuu wa kwenda kujifunza kampuni ni nini na Kwanini Yanga bado hatua kadhaa ikawe kampuni kutokana na kubadiri mfumo wa uendeshaji wa club
Shida ni kwamba mna ushabiki maandazi Sana.Kwahiyo unataka upate jibu jipya sio tofauti na ambalo nimekupa, kwahiyo ulikuja na majibu yako kwenye chumba cha mtihani
Dahhh ndio ubaya wa mitandao ya kijamii kama jamii forum, mtu unajikuta una burn calories za kutosha kujadili kitu kwa kuwa tu hujui ye ni nani,ana umri gani,ana elimu gani,ana uelewa gani na mada husika ndo madhara yake haya, laiti kama ungekuwa mwelewa ata tusingefika huku Mkuu, ungekuwa ushajibu maswali ambayo teyari yanakupa majibu ya maswali yakoyanga ni kampuni ya nini?
Na GSM ni club ya nini?
acha kunitisha.Dahhh ndio ubaya wa mitandao ya kijamii kama jamii forum, mtu unajikuta una burn calories za kutosha kujadili kitu kwa kuwa tu hujui ye ni nani,ana umri gani,ana elimu gani,ana uelewa gani na mada husika ndo madhara yake haya, laiti kama ungekuwa mwelewa ata tusingefika huku Mkuu, ungekuwa ushajibu maswali ambayo teyari yanakupa majibu ya maswali yako
Labda Nikushauri kitu tu Mkuu achana na hii mada maana huna unachojua ni mweupe kabisa, ungekaa kimya tu ujifunze kama wengine me naweza nikawa sikufahamu hivo ikawa sio bid deal kwangu kukuona wewe mweupe miongoni mwa watanzania ambao hauna Akili hasa kwa kuangalia uwezo wako wa kujenga hoja ulivo mdogo
ila naamini kuna baadhi ya watu wanakufahamu au either wanafahamu positive impact ya michango yako humu ndani, maana najua mtu ni ngumu kuwa competent kwenye Kila nyanja, inawezekana kuna sehemu waga unakuwa na michango chanya Sana na watu wanakuheshimu kwa kupitia huko, Sasa ili kulinda Heshima unayopata kwingine hebu achana tu na hii mada unless otherwise kajipange tena uje na hoja tuendelee kujadili
Huyu anajiita mjingamimi unategemea chochote cha maana kutoka kwake? Ni limbukeni fulani kajua kutumia smartphone ya kupewa ndiyo anajitutumua.Dahhh ndio ubaya wa mitandao ya kijamii kama jamii forum, mtu unajikuta una burn calories za kutosha kujadili kitu kwa kuwa tu hujui ye ni nani,ana umri gani,ana elimu gani,ana uelewa gani na mada husika ndo madhara yake haya, laiti kama ungekuwa mwelewa ata tusingefika huku Mkuu, ungekuwa ushajibu maswali ambayo teyari yanakupa majibu ya maswali yako
Labda Nikushauri kitu tu Mkuu achana na hii mada maana huna unachojua ni mweupe kabisa, ungekaa kimya tu ujifunze kama wengine me naweza nikawa sikufahamu hivo ikawa sio bid deal kwangu kukuona wewe mweupe miongoni mwa watanzania ambao hauna Akili hasa kwa kuangalia uwezo wako wa kujenga hoja ulivo mdogo
ila naamini kuna baadhi ya watu wanakufahamu au either wanafahamu positive impact ya michango yako humu ndani, maana najua mtu ni ngumu kuwa competent kwenye Kila nyanja, inawezekana kuna sehemu waga unakuwa na michango chanya Sana na watu wanakuheshimu kwa kupitia huko, Sasa ili kulinda Heshima unayopata kwingine hebu achana tu na hii mada unless otherwise kajipange tena uje na hoja tuendelee kujadili
Hivi unajua Kama unatumia nguvu kubwa sana kuonesha kuwa wewe ni Mjinga kiasi gani na hujatumia ata robo ya nguvu zako kuonekana wewe ni mwelevu kiasi gani, kuna maswali ya msingi Sana ambayo unakwepa kuyajibu na ndio yamebeba maana nzima ya hoja yako ya kuuliza eti Kwani GSM anadhamini jersey au anadhamini ligi, eti Kwani jersey atavaa simba peke yake au team nzima ligi kuuShida ni kwamba mna ushabiki maandazi Sana.
na MPIRA wa Tanzania hauwezi kuendelea kamwe kwa huu ushabiki wenu.
sioni mahusiano yaliyopo Kati ya gsm na yanga.
Gsm NI mdhamini mwenza wa LIGI.
Nembo yake itavaliwa na club zote za ligi.sio Simba Peke yake..
GSM hajadhamini jezi . amedhamini LIGI.
Kama TFF wameamua lifanyike Hilo wewe Nani UPINGE?Hivi unajua Kama unatumia nguvu kubwa sana kuonesha kuwa wewe ni Mjinga kiasi gani na hujatumia ata robo ya nguvu zako kuonekana wewe ni mwelevu kiasi gani, kuna maswali ya msingi Sana ambayo unakwepa kuyajibu na ndio yamebeba maana nzima ya hoja yako ya kuuliza eti Kwani GSM anadhamini jersey au anadhamini ligi, eti Kwani jersey atavaa simba peke yake au team nzima ligi kuu
Hayo ni maswali ya kitoto sana ambayo unauliza maana unaluka msingi mzima wa Kwanini Simba inataka ufafanuzi wa kisheria kabla hawajavaa, ndomana nikakuuliza we umewahi kuona mdhamini mwenza amekaa kwenye jersey tangu ligi hii ianzishwe? Kwanini GSM? Unajua kanuni zinasemaje kuhusu mdhamini mkuu na mdhamini mwenza? Mbona ni maswali rahisi sana mkuu kama unaamini GSM ana haki ya kukaa kwenye jersey za ligi kuu pamoja na mdhamini mkuu
Kabisa Mkuu, unajua watu wanashindwa kutofautisha hoja na ushabiki au hoja na mihemko, me Nampa hoja ambazo tulipaswa tujadili ili atetee point yake ya kuwa haoni point ya Simba kugomea kuvaa jersey yenye nembo ya GSMHuyu anajiita mjingamimi unategemea chochote cha maana kutoka kwake? Ni limbukeni fulani kajua kutumia smartphone ya kupewa ndiyo anajitutumua.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hivi Azam na issue ya GSM zinafanana?Mbona Azam hamkulalamika, kama mnalalamika hapa inabidi malalamike na Azam sababu tofauti na hapo ni double standards za ajabu.