Dahhh ndio ubaya wa mitandao ya kijamii kama jamii forum, mtu unajikuta una burn calories za kutosha kujadili kitu kwa kuwa tu hujui ye ni nani,ana umri gani,ana elimu gani,ana uelewa gani na mada husika ndo madhara yake haya, laiti kama ungekuwa mwelewa ata tusingefika huku Mkuu, ungekuwa ushajibu maswali ambayo teyari yanakupa majibu ya maswali yako
Labda Nikushauri kitu tu Mkuu achana na hii mada maana huna unachojua ni mweupe kabisa, ungekaa kimya tu ujifunze kama wengine me naweza nikawa sikufahamu hivo ikawa sio bid deal kwangu kukuona wewe mweupe miongoni mwa watanzania ambao hauna Akili hasa kwa kuangalia uwezo wako wa kujenga hoja ulivo mdogo
ila naamini kuna baadhi ya watu wanakufahamu au either wanafahamu positive impact ya michango yako humu ndani, maana najua mtu ni ngumu kuwa competent kwenye Kila nyanja, inawezekana kuna sehemu waga unakuwa na michango chanya Sana na watu wanakuheshimu kwa kupitia huko, Sasa ili kulinda Heshima unayopata kwingine hebu achana tu na hii mada unless otherwise kajipange tena uje na hoja tuendelee kujadili