Je, ni kweli Ugali wa Dona ni bora kuliko wa Sembe?

Kabisa panya anatuzidi yy anakula mpaka mifupa ya chakula kilichotupwa, anakula nguo na godoro
anachotafuta yeye (panya) ni nutrients. Ili kujua chakula kifaacho binadamu kula, binadamu amesoma ulaji wa chakula kwa wanyama na wadudu. Sijui watu humu mnalijua hilo!!!
 
Na ww boss unakuwa mgumu sana kuelewa, pointi ni kuwa dona kama ukiandaa mwenyewe ni mzuri, I mean umetoa shambani ukaosha ukaenda kusaga, but kumbuka kuna mahindi yanakaa 2yrs lazima yawekwe dawa sasa hayo ya dawa ukienda kusaga lazima utapata madhara ni sawa na kula kuku wa Kizungu
 
Hunijui, sikujui. Hiyo habari ya ugumu wa kuelewa ni tusi kwangu. Si ajabu hata umri nakuzidi, please tumia lugha yenye staha. Nina tofautiana sana nawe, kwa sababu mimi nakijua chakula kwa maana ya kukijua. Hapa Tanzania wakisema wapite mbele wanaokijua chakula nitapita. You have been brain washed to hate yourself kwa peremende.
 
Na ww boss unakuwa mgumu sana kuelewa, pointi ni kuwa dona kama ukiandaa mwenyewe ni mzuri, I mean umetoa shambani ukaosha ukaenda kusaga, but kumbuka kuna mahindi yanakaa 2yrs lazima yawekwe dawa sasa hayo ya dawa ukienda kusaga lazima utapata madhara ni sawa na kula kuku wa Kizungu
Chakula chaweza wekwa dawa, na kikaa muda mrefu na bado kikawa safe kwa mlaji. The lethality of anything is determined by the dose consumed. We do take poisons daily, but yet we are safe because of the dose we take is at a safe range.
 
Tule chakula gani sasa?
sahau kupata majibu sahihi. Anayediriki kuongea hivyo ujue ni kizazi cha dot.com. Ambao ukikutana nao wanadai hawali dagaa. ukiwapa kisogo wanafukamia dagaa. Kizazi cha wala chips hicho, achana nao
 
Sasa hiyo dawa si inakuwa maalum kwa wadudu na sio binadamu? Kama yamepakwa dawa ya panya ili panya wasile then mtu anayasaga wa ajili ya kula ww je hutopata madhara?
 
Chakula chaweza wekwa dawa, na kikaa muda mrefu na bado kikawa safe kwa mlaji. The lethality of anything is determined by the dose consumed. We do take poisons daily, but yet we are safe because of the dose we take is at a safe range
 
Kaka shida ni kupata choo basi kula papai, point yake ni kuwa, mahindi yanakaa gharani miaka 2, yanapigwa na dawa za kuzuia wadudu, Then unaenda kuyasaga tu, madhara yake ni makubwa kuliko faida,
Nani ambae anasaga tuu bila kuyakosha..?

Kwa nini useme "yanatoka dukani yanasagwa Tu "
Wakati kuna watu ambao wanayakpsha kwa umakini mkubwa?
 
sahau kupata majibu sahihi. Anayediriki kuongea hivyo ujue ni kizazi cha dot.com. Ambao ukikutana nao wanadai hawali dagaa. ukiwapa kisogo wanafukamia dagaa. Kizazi cha wala chips hicho, achana nao
Hahahahahhaaaaaa
 
Nani ambae anasaga tuu bila kuyakosha..?

Kwa nini useme "yanatoka dukani yanasagwa Tu "
Wakati kuna watu ambao wanayakpsha kwa umakini mkubwa?

Unapoenda mfano Serena hotel kula ukaagiza ugali dona, unajua hayo mahindi bfr kusagwa yalikaa kwa muda gani?
 
Siku ukipata muda ndugu mtoa uzi, ninaomba utuelezee faida ya viazi vitamu
 
Unapoenda mfano Serena hotel kula ukaagiza ugali dona, unajua hayo mahindi bfr kusagwa yalikaa kwa muda gani?
Unanipaje mfano ambao kwangu hauna mantiki yeyote,?
Mimi naenda kununua mahindi mwenyewe yaliyokaa mda mfupi kabisa.

Then nayaloweka kwenye maji na kuyakosha mpaka nijiridhishe na yale maji yawe masafi kabisa.

Alafu baada ya hapo nayaanika juani yanakauka Kau kau.

Yakishakauka vizuri nayapeleka mashineni nakusagwa.

Muosho wa kwanza na wa pili maji huwa yanabadilika na kuwa na rangi ya uchafu na hapo ni ishara ya kwamba pasi na kuyakosha mahindi inakuwa shida.

SIJAWAHI KULA DONA LA KUNUNUA MPAKA LEO HII TOKEA NIZALIWE.

Sasa kwa namna hii niifanyayo unadhani hayo masumu yatanipata mimi wakati nakosha mahindi vizuri?
 
Sasa kwa maelezo hayo ni kwamba ww ni mkulima, sasa je unapoenda restaurant ukasema wakupe ugali wa dona unajua hayo mahindi yalikaa muda gani gharani? Hiyo ndio point ya msingi
Na sisi tusiokula restaurant tunaandaa wenyewe na kuosha mpaka kusaga unasemaje juu ya sisi..?
 
Kuna mafunzo,lakini ndefu sana. Siku hizi usisage dona hata kama ina virutubusho vingi kuliko sembe. Ardhi zimeharibiwa na mbolea na madawa mengine ya kisasa, kwa hiyo kwenye mahindi siku hizi kuna kitu kinaitwa kitu kama ”sumu kuvu” au “ukungu” au ”lugha ingine”. Hii inafanya ugali kuwa mkali yasipokobolewa,vile unakuwa una uwezekano mkubwa wa kuwa na sumu inayoweza kuua.
 
Unanipaje mfano ambao kwangu hauna mantiki yeyote,?
Mimi naenda kununua mahindi mwenyewe yaliyokaa mda mfupi kabisa.

Then nayaloweka kwenye maji na kuyakosha mpaka nijiridhishe na yale maji yawe masafi kabisa.

Alafu baada ya hapo nayaanika juani yanakauka Kau kau.

Yakishakauka vizuri nayapeleka mashineni nakusagwa.

Muosho wa kwanza na wa pili maji huwa yanabadilika na kuwa na rangi ya uchafu na hapo ni ishara ya kwamba pasi na kuyakosha mahindi inakuwa shida.

SIJAWAHI KULA DONA LA KUNUNUA MPAKA LEO HII TOKEA NIZALIWE.

Sasa kwa namna hii niifanyayo unadhani hayo masumu yatanipata mimi wakati nakosha mahindi vizuri?

Sasa why umepoteza mb zangu kubishana na ww? Hapa tunaongelea watu ambao wao wanakula kwenye ma hoteli au restaurant, hasa watu wa mijini
 
mahindi ya siku hizi ukiyasaga dona unga unakuwa mchungu balaa
Siku hizi lazima ukoboe. Ardhi zimeharibiwa na mbolea za chumvi na madawa mengine. Kwa hiyo mahindi yanakuwa na ugonjwa unaitwa kitu kama ”sumu kuvu” ndio maana unga unakuwa mchungu. Hii sumu inaweza kuua. Nafikiri iliwahi kutokea dodoma
 
Hata kama sivuni mimi,iwe nanunua dukani lakini nayaosha vizuri kwa maji mengi mpaka maji ya kuoshea yanakuwa meupee then nayaanika nasaga bado tuko salama.

Nikila dona yangu na mchicha na samaki mida ya saa 7 basi hapo nakula tena saa2 usiku tena napiga vitunda tunda tuu
Nyie ndio mko salama zaid coz unavuna na unaenda kusaga
 
Wewe ndo wasema.

Sasa musiseme dona lina madhara kwa mfumo huo,kwa sababu hata hilo sembe kama unakula mgahawani pia lina madhara kwa sababu maandalizi machafu,unaweza tiliwa hamira hasaa kwenye hilo sembe na madudu mengi.sasa hapo hatuwezi kusema na sembe lina madhara kutokana na ubovu wa maandalizi..?

Kwa mwendo unaotaka twende basi kila kitu kina madhara ati.

Back
Top Bottom