anachotafuta yeye (panya) ni nutrients. Ili kujua chakula kifaacho binadamu kula, binadamu amesoma ulaji wa chakula kwa wanyama na wadudu. Sijui watu humu mnalijua hilo!!!Kabisa panya anatuzidi yy anakula mpaka mifupa ya chakula kilichotupwa, anakula nguo na godoro
Tule chakula gani sasa?Ki ujumla Ugali ni chakula kisichofaa mazoea yanatuponza na ndio chanzo cha kudumaa mwili!
Ujiulize kwanini mataifa walioendelea hawali wanalishia mifugo?
anachotafuta yeye (panya) ni nutrients. Ili kujua chakula kifaacho binadamu kula, binadamu amesoma ulaji wa chakula kwa wanyama na wadudu. Sijui watu humu mnalijua hilo!!!
Hunijui, sikujui. Hiyo habari ya ugumu wa kuelewa ni tusi kwangu. Si ajabu hata umri nakuzidi, please tumia lugha yenye staha. Nina tofautiana sana nawe, kwa sababu mimi nakijua chakula kwa maana ya kukijua. Hapa Tanzania wakisema wapite mbele wanaokijua chakula nitapita. You have been brain washed to hate yourself kwa peremende.Na ww boss unakuwa mgumu sana kuelewa, pointi ni kuwa dona kama ukiandaa mwenyewe ni mzuri, I mean umetoa shambani ukaosha ukaenda kusaga, but kumbuka kuna mahindi yanakaa 2yrs lazima yawekwe dawa sasa hayo ya dawa ukienda kusaga lazima utapata madhara ni sawa na kula kuku wa Kizungu
Chakula chaweza wekwa dawa, na kikaa muda mrefu na bado kikawa safe kwa mlaji. The lethality of anything is determined by the dose consumed. We do take poisons daily, but yet we are safe because of the dose we take is at a safe range.Na ww boss unakuwa mgumu sana kuelewa, pointi ni kuwa dona kama ukiandaa mwenyewe ni mzuri, I mean umetoa shambani ukaosha ukaenda kusaga, but kumbuka kuna mahindi yanakaa 2yrs lazima yawekwe dawa sasa hayo ya dawa ukienda kusaga lazima utapata madhara ni sawa na kula kuku wa Kizungu
sahau kupata majibu sahihi. Anayediriki kuongea hivyo ujue ni kizazi cha dot.com. Ambao ukikutana nao wanadai hawali dagaa. ukiwapa kisogo wanafukamia dagaa. Kizazi cha wala chips hicho, achana naoTule chakula gani sasa?
Chakula chaweza wekwa dawa, na kikaa muda mrefu na bado kikawa safe kwa mlaji. The lethality of anything is determined by the dose consumed. We do take poisons daily, but yet we are safe because of the dose we take is at a safe range.
Chakula chaweza wekwa dawa, na kikaa muda mrefu na bado kikawa safe kwa mlaji. The lethality of anything is determined by the dose consumed. We do take poisons daily, but yet we are safe because of the dose we take is at a safe rangeSasa hiyo dawa si inakuwa maalum kwa wadudu na sio binadamu? Kama yamepakwa dawa ya panya ili panya wasile then mtu anayasaga wa ajili ya kula ww je hutopata madhara?
Nani ambae anasaga tuu bila kuyakosha..?Kaka shida ni kupata choo basi kula papai, point yake ni kuwa, mahindi yanakaa gharani miaka 2, yanapigwa na dawa za kuzuia wadudu, Then unaenda kuyasaga tu, madhara yake ni makubwa kuliko faida,
Hahahahahhaaaaaasahau kupata majibu sahihi. Anayediriki kuongea hivyo ujue ni kizazi cha dot.com. Ambao ukikutana nao wanadai hawali dagaa. ukiwapa kisogo wanafukamia dagaa. Kizazi cha wala chips hicho, achana nao
Nani ambae anasaga tuu bila kuyakosha..?
Kwa nini useme "yanatoka dukani yanasagwa Tu "
Wakati kuna watu ambao wanayakpsha kwa umakini mkubwa?
Unanipaje mfano ambao kwangu hauna mantiki yeyote,?Unapoenda mfano Serena hotel kula ukaagiza ugali dona, unajua hayo mahindi bfr kusagwa yalikaa kwa muda gani?
Na sisi tusiokula restaurant tunaandaa wenyewe na kuosha mpaka kusaga unasemaje juu ya sisi..?Sasa kwa maelezo hayo ni kwamba ww ni mkulima, sasa je unapoenda restaurant ukasema wakupe ugali wa dona unajua hayo mahindi yalikaa muda gani gharani? Hiyo ndio point ya msingi
Na sisi tusiokula restaurant tunaandaa wenyewe na kuosha mpaka kusaga unasemaje juu ya sisi..?
Unanipaje mfano ambao kwangu hauna mantiki yeyote,?
Mimi naenda kununua mahindi mwenyewe yaliyokaa mda mfupi kabisa.
Then nayaloweka kwenye maji na kuyakosha mpaka nijiridhishe na yale maji yawe masafi kabisa.
Alafu baada ya hapo nayaanika juani yanakauka Kau kau.
Yakishakauka vizuri nayapeleka mashineni nakusagwa.
Muosho wa kwanza na wa pili maji huwa yanabadilika na kuwa na rangi ya uchafu na hapo ni ishara ya kwamba pasi na kuyakosha mahindi inakuwa shida.
SIJAWAHI KULA DONA LA KUNUNUA MPAKA LEO HII TOKEA NIZALIWE.
Sasa kwa namna hii niifanyayo unadhani hayo masumu yatanipata mimi wakati nakosha mahindi vizuri?
Siku hizi lazima ukoboe. Ardhi zimeharibiwa na mbolea za chumvi na madawa mengine. Kwa hiyo mahindi yanakuwa na ugonjwa unaitwa kitu kama ”sumu kuvu” ndio maana unga unakuwa mchungu. Hii sumu inaweza kuua. Nafikiri iliwahi kutokea dodomamahindi ya siku hizi ukiyasaga dona unga unakuwa mchungu balaa
Nyie ndio mko salama zaid coz unavuna na unaenda kusaga
Sasa why umepoteza mb zangu kubishana na ww? Hapa tunaongelea watu ambao wao wanakula kwenye ma hoteli au restaurant, hasa watu wa mijini