DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Wewe kuwa alive sio guarantee kwamba ulaji wa dona ni salama.Nadhani hilo andiko la sumu ya kuvu hukulielewa vizuri. Nenda kalisome tena kwa jicho la kitaaluma. sio kilaymen. Kama ungekuwa sahihi, basi mimi ningekuwa marehemu sasa, Maana dozi yangu ya ugali ni aina ya dona
Hata kama sivuni mimi,iwe nanunua dukani lakini nayaosha vizuri kwa maji mengi mpaka maji ya kuoshea yanakuwa meupee then nayaanika nasaga bado tuko salama.
Nikila dona yangu na mchicha na samaki mida ya saa 7 basi hapo nakula tena saa2 usiku tena napiga vitunda tunda tuu
Hata wewe huo muda unao.Dah basi ww una muda wa kufanya hayo mambo
na wewe acha kupaniki, wapi alipokutukana. Kama unajijua una mihemko usiwe unachangia mada humu uwe unasoma tu na ku likeHunijui, sikujui. Hiyo habari ya ugumu wa kuelewa ni tusi kwangu. Si ajabu hata umri nakuzidi, please tumia lugha yenye staha. Nina tofautiana sana nawe, kwa sababu mimi nakijua chakula kwa maana ya kukijua. Hapa Tanzania wakisema wapite mbele wanaokijua chakula nitapita. You have been brain washed to hate yourself kwa peremende.
Kwa aina yetu ya kilimo na utunzaji wa mahindi dona ina changamoto zake haswa sumukuvu (mycotoxins) inayozalishwa na aina fulani za fangasi lakini pia mabaki ya chemikali za kuhifadhia mazao. Vinginevyo isingekuwa na shida kubwaDaah, umepatia sana mkuu.Mi kila mara huwa nabishana na wadau kuhusu sembe, sembe ni chakula bora na salama ukilinganisha na dona.
Dona lina madhara mengi sana mwilini ukilinganisha na hizo faida zake chache.
Vumbi, uchafu na madawa yanayotumika kuhifadhia mahindi ni hatari kwa afya zetu.
Epuka dona, ni hatari kwa afya yako. KULA SEMBE.
Kama utaamua kula dona nakuomba mahindi yaandae mwenyewe kwa kuchambua yote machafu, yenye dalili ya fangasi na yaliyotoboka alafu yaoshe ndo yawe tayari kusagwa. Vinginevyo unaiweka familia yako kwenye hatari ya sumukuvuSili tena Sembe aiseee..!!
Unapataje Choo ukila sembe? Mimi nikila sembe hata nile vegetables kiasi gani nitapata constipation
Mahindi ukiyaosha na kuanika halafu ukayasaga mwenyewe hiyo sumu na uchafu vitatoka wapi? Ukiwa mchafu ndio utakula uchafu na sumu. Dona ndio mpango mzimaKula dona ni kula sumu na uchafu.
Mi nitaendelea kula sembe na mhogo.
Matunda na Mboga mboga zitanisaidia
Basi ujue papai ndo lonaleta choo na sio sembe kama sembe.Kula papai, pia maybe huo ni ugonjwa nenda hospitali
Yani ukiangalia hata mtoa mada hyo ndo hoja yake kubwa.Mahindi ukiyaosha na kuanika halafu ukayasaga mwenyewe hiyo sumu na uchafu vitatoka wapi? Ukiwa mchafu ndio utakula uchafu na sumu. Dona ndio mpango mzima
Sahihi mkuu.hivi vyakula vya ajabu sana yani.Hata nikila papai, kosa nikila sembe hata ukifululiza wali sana Choo napata kigumu, ili nipate choo kizuri nile Dona au viazi vitamu
Hapo hata yakikaa miaka miwili Ukiyachambua na ukayaloweka kidogo na kuyakosha yakawa masaaaafiiii mzee unaenjoy life fresh.Kama utaamua kula dona nakuomba mahindi yaandae mwenyewe kwa kuchambua yote machafu, yenye dalili ya fangasi na yaliyotoboka alafu yaoshe ndo yawe tayari kusagwa. Vinginevyo unaiweka familia yako kwenye hatari ya sumukuvu
Katika mbegu ya hindi yale mabaki ya kemikali na sumu kuvaa hukaa sehemu gani ya punje ya mhindi..?Kwa aina yetu ya kilimo na utunzaji wa mahindi dona ina changamoto zake haswa sumukuvu (mycotoxins) inayozalishwa na aina fulani za fangasi lakini pia mabaki ya chemikali za kuhifadhia mazao. Vinginevyo isingekuwa na shida kubwa
Basi ujue papai ndo lonaleta choo na sio sembe kama sembe.
Bado sembe ni chakula hatari sana kwa afya ya tumboo.
Hata sembe lenyewe kama hujaliosha linamadhara tuu
Mkuu nakuomba jibu maswali ya watu! Ili tupate somo zaidiTunashauri kula vyakula visivyozalisha sukari kwa haraka. Sasa kwa mazingira yetu ya afrika mashariki tunataja Dona, au ugali wa Mtama. Wagonjwa wa kisukari ulaya na Amerika hawasauriwi kula Dona kwa sababu sio chakula chao.
Asilimia kubwa ya sumu kuvu inakaa kwenye ganda la nje na ukichambua na ya kuyaosha vizuri inapunguza sana sumu kuvu hadi kwa zaidi ya asilimia 80Katika mbegu ya hindi yale mabaki ya kemikali na sumu kuvaa hukaa sehemu gani ya punje ya mhindi..?
Ila pia hizo fibre ziko kwa wingi kwenye matunda, mboga za majani na maharagwe. So kukoboa kuna faida zake kwa usalama wa mahindi (food safety). Kinachopotea wakati wa kukoboa huwa kinafidiwa na vyakula vingine kirahisi tu.Sahihi mkuu.hivi vyakula vya ajabu sana yani.
Ukila wali labda ule kidogo sana na mboga iwe nyingi na matunda.
Ila dona bwana ndio habare ya mujini kwa kweli.
Yani mtu anayekula sembe nusu na mtu anayekula dona nusu.basi huyu mtu wa sembe ili amfikie wa dona inabidi atafute machungwa yaliko ale zile nyama za machingwa ili alainishe choo.
Wakati huo mtu wa dona hana haja ya kula machungwa kwa sababu ganda la indi linafaida hizo ambazo zinapatikana kwenye nyama ya chungwa[emoji23][emoji23]
sukari ipi?kwa nini wagonjwa wa kisukari wanashauriwa kula dona?