Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Kweli wewe ni semi illiterate fellow with hatred of Islam unapinga hoja bila kuleta ushahidi wa kupinga hiyo mada zaidi ya kuandika hisia zako tu, chuki zako dhidi ya Uislamu huwezi kuzuia uenezi wa uislamu katika ulimwengu wote achana na Ulaya hata China Korea Japan nk.
Nilimshangaa yule Muislamu Mpakistani yeye na demu wake(sijui mkewe) walimtesa yule mtoto wake wa kike mpaka kufa kisha kukimbilia kwao Pakistani.
Kaona Pakistani kwao hakuna maisha karudi tena Uingereza kuchezea maisha gerezani. Kweli Ulaya kuzuri Aisee! Uhuru wa Kuishi maisha bila vikwazo vya ajabu ajabu vya dini una thamani kubwa kabisa.
 
Wewe huwa poyoyo,na utakua mlokole tu,maana mna mihemko bila akili
Quran 5:5 mtume aliishi na wakristu na wayahudi bila shida, palikua na ukristu makkah na madina kabla ya uislam,ukootezwa na uislam,arabuni kote kuna makanisa mpaka Iran huko,mtu akiujua uislam hawezi toka akaabudu imani haieleweki kama ya kikristo
Anao huo Uhuru kwanza wa kubadili dini bila kuhofia kukatwa shingo!?
 
Unaona fuvu lako lilivyojaza uji wa ulezi badala ya ubongo!!..ulidai arabuni serikali haziruhusu wakristu bila hivyo ukristu ungekua na wafuasi wengi,nimekuwekea aya inaonesha mtume aliishi na wakristu lakini bado ukristu ulipotea,unakuja kuweka aya zinazoonesha kweli wakristu walikuwepo chini ya dola ya mtume ukidhani unanikosoa,we ni mbumbumbu na uwezo wa kuchanganua mambo mdogo
Achana na hizo aya za porojo. Huo Uhuru wa kuabudu dini tofauti huko Uarabuni upo!?
 
Ongezeko la waislam Ulaya na Amerika linatokana na ongezeko la wahamiaji waarabu na wakimbizi kutoka nchi za kiarabu, na wala halitokani na wazungu au wakristo kusilimu.

Na kadiri siku zinavyoenda huenda idadi hiyo ya waislam ikapungua zaidi kwa sababu mataifa mengi ya Ulaya na America yameanza kuweka sheria kali za wahamiaji, hasa wale wa kutoka nchi za kiarabu kutokana na hofu ya kiusalama.
Wahamiaji kutoka Asia wanazaliana sana kwa hiyo ongezeko lao bado lipo tu.
 
Trump mwenyewe hataki wahamiaji, itawezekanaje aruhusu dini za hao wahamiaji zitamalaki?
 
Sisi kama wanazuoni, wanatheolojia na wachambuzi wa DINI

Tunasema NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

Kwa ufupi, takwimu za ukuaji wa Uislamu na Ukristo katika Ulaya na Marekani ni kama ifuatavyo:


Ulaya:


  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa milioni 25, sawa na 5% ya idadi ya watu wote. Ukuaji huu unatokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo bado ni dini kubwa, ingawa idadi ya waumini inashuka kutokana na secularism na mabadiliko ya kijamii. Wakristo wanakadiriwa kuwa asilimia 70% hadi 75% ya idadi ya watu wote.

Marekani:


  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa kati ya milioni 3.5 hadi 5.0, kutokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo unaendelea kuwa dini kubwa, na Wakristo wanakadiriwa kuwa takriban 70% ya idadi ya watu wote.

Chanzo cha takwimu hizi ni makadirio ya jumla kutokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utafiti wa Pew Research Center na Ofisi ya Sensa ya Marekani.
ni kweli kuwa wakristo ni wengi bado mie nachosemea ni rate of growth kwa waislamu ni kubwa,na pia wazungu,acha wahamiaji sasa ni wanazuoni wa dini ya kiislamu,wanadalisha na wamesoma sana kuruani,kwanini ni hivyo mie sijui
 
"Hakika dini hii (Uislamu) itafika kila sehemu inayofikiwa na usiku na mchana, na Allah hataacha nyumba yoyote ya matofali wala manyasi ila ataingiza dini hii humo, kwa utukufu wa aliyepewa heshima au kwa udhalili wa aliyeangamizwa. Utukufu ni kwa wale wanaoukubali Uislamu, na udhalili ni kwa wale wanaoukataa."
(Ahmad, Musnad 16957, na al-Tabarani, al-Mu’jam al-Kabir 13092, Sheikh al-Albani ameitaja kama sahihi.)
Hiyo Hadith ya Mtume wenu mmepigwa kwasabau maneno aliyokuwa akiongea mtume wenu ni ya iblis aliyemuingilia ndio maana ni kama ya kichaa fulani 100% Nakuchanganulia Alafu huyo Musnad, most muslim wanamkataa kuwa sio Sahihi mnachagua ujinga unaoonekana unawapendeza and ujinga wa Musnad mnaukataa.

1. Aliyesema hayo maneno ni Mudy na Sio Allah. na Mudy hajawahi kuongea ukweli zaidi ya stupidity

2. Usiku na Mchana upo hapa hapa tulipo yaani giza linaingia na jua linawaka hakuna uislam unaoingia..

3. Kuna mabara hayaishi watu haswa antarctica au Uislam utawafikia Penguin?

4. Uislam kuingia nyumba zote tokea huo mwaka alio tamka hayo maneno hadi leo bado kakwama fake prophet so hamna huo uhakika. ni fix kamba uongo.

5. Hadith ya Abu hurayrah 145 inasema Uislam ulianza kwa uchache na utaisha kwa uchache kama joka lizamalo kwenye shimo lake.. na Joka ndio Shetani lenyewe pia Mtume wenu alisema itafikia hadi kabuli lake litakojolewa na dogs. no more islams hahaha na wanazuoni wa kiislam watapotea wote

6. Kama uislam ukiinga kwa nyumba tunaucheka na kuukimbiza utabili wa mjinga. labda alimaanisha Waislam na sio uislam.

7. Mtume wenu amewaambia kuwa mwisho wa Dunia watu wote watakuwa Christians wafuasi wa Yashua Jesus
 
Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao.
Wewe ndo una propaganda na hii dini maana kila siku wewe ni kuishambulia tu
Muda mwingine uwe unaleta hata nyuzi za kina Aziz ki na Mobetto
 
Mimi ni Murtadi

Nimempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa MAISHA yangu
Hukuwa muislam kamili hakuna muislam alikulia katika malezi mazuri ya kiislamu akawa murtadi, ndio maana hata unayobwabwaja hapa hayana mantiki nashindwa kuchangia hata kuelewa sielewi elewi uwe unatulia unaweka hoja vizuri ili watu na elimu zao waweze kujibu na wengine wajifunze sasa wewe unaenda kulupu kulupu na majibu unayo yakwako unamaana umekuja kubisha tu na kuleta vurugu
 
"Hivyo kwa njia ya propoganda hii wengi wameogopa."
Ni wewe tu umeogopa kwa ujinga wako, kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo
 
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu

Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi

Wakristo wana hofu wakisikia hivyo

Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani kuutumia uongo kwa maslahi ya dini au kunusuru jambo. Wapo tayari kuhonga hata waandishi wa habari kueneza propoganda zao, hata kweye kombe la dunia la Qatar walijipanga kueneza propoganda ya kuonesha ubora wa Uislam na kusilimisha watu public na kurusha kwenye media kwamba Uislam ni dini ya haki na amani na kwamba watu wanauingia kwa wingi. Target yao kubwa ni wazungu, wanafikiri wazungu wakiwa Waislam basi uislam utatukuka. Na ndio maana mzungu akisilimu wanafurahi sana na kurusha hizo habari kwenye media. Na kweli wamewapata baadhi ya wazungu wajinga na kuwasilimisha hasa kwa ndoa.

Sikia sasa uongo wao

Bilashaka ulishawahi sikia kwenye vyombo vya habari kwamba Uislam utatawala ulaya ifikapo 2050, eti kwamba kila siku wazungu wanaugeikia Uislamu na kufanya idadi kubwa ya Waislam Ulaya na Marekani. Huu ni Uzushi Mtakatifu.

Waislam wengi kwa upande wa Ulaya na Marekani ni wahamiaji na vizalia. Wanaosilimu ni idadi ndogo tu. Moja ya program yao ni kuoa wazungu ili wapate uzao wa kislamu, kwa njia hii wamefanikiwa kuliko ya kusilimisha.

Idadi ya Waislam katika Uingereza na Marekani

Uingereza

Kwa mujibu wa sensa ya 2021 ambayo idadi yake ya watu ni milioni 67.5, Waislam ni milioni 3.6 na hapo umejumlisha hadi nchi ya Wales. Hivyo Waislam wanaunda jumla ya 6.4% katika idadi hiyo ya Waingereza na Wales. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la The Guardian hapo chini.


Marekani

Marekani ina Waislam milioni 3.45 kati ya Wamarekani milioni 331. Hivyo Waislam wanaunda 1.1% ya idadi ya Wamarekani wote. Na idadi hii ya Waislamu wengi ni ya wahamiaji [migrants]. Angalia ushahidi chini


Sasa huo ukuaji wa Waislamu ndani ya Marekani na Ulaya ndio uje ubadilishe nchi hizo kwa miaka 25 ijayo yaani 2050?

Hivyo dini ya kislamu imejaa propoganda, na tambua propoganda ni mbinu ya kijasusi ya kumfanya adui yako akuogope au akuhofie. Hivyo kwa njia ya propoganda hii wengi wameogopa.

Hivyo hata idadi kubwa ya Waislam ina hesabiwa hadi watoto wadogo wanaozaliwa kwahiyo wanaonekana kama ni wengi. Wakristo kuondoa Waroma na waprotestant wachache hawahesabu watoto kwenye idadi ya Wakristo bali waliobatizwa tu. Sahivi wakristo ni zaidi ya bilioni 2, je wakihesabu watoto itakuaje?

Itoshe tu kusema Uislam ni dini ya Taqiya na hauwezi simama bila propoganda na nguvu. Siku wakiachia uhuru wa dini katika nchi zao, wategemee idadi kubwa kubatizwa na kuacha Uislam. Na hilo hawataki. Hivyo sharti uhuru wa dini uminywe. Na Agizo la mtume wao ni hili,

Mwenye kubadili dini yake ya kiislamu, MUUENI". Angalia - (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483

View: https://x.com/Shariakill/status/1892137880845222128
 
Back
Top Bottom