Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

mtutsi mwenzangu punguza monkari
 
Uzushi nimezaa na mademu wawili wakinyarwanda wanasema hakuna kitu Kama hicho akikupenda anabeba tuu
 
Siyo kweli, wanawake wa Kitusi/Watusi ni waaminifu sana ndani ya ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtusi kafunguka
 
Mhh story hizi zinatutisha tuliooa watutsi jamani,kwa uzuri wa hawa watu na utamu wao wala sijali maneno haya maana inawezekana ulikuwa utamaduni wao zamani ili kukuza kizazi chao sababu walikuwa wachache lakini vizazi vya siku hizi vinabadirika hawafuati mambo ya kale na tamaduni za zamani,mke wangu ni mwaminifu na watoto wangu wanazo feature za ufanano na mm.namshukuru tu kanipa watoto wazuri sana na mm naburudika kila nikimtazama kwa uzuri wa sura na umbo lake la kitutsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu,huo ni uzushi ambao ulianzishwa na mahasimu wao wahutu baada ya kuona watu wengi hasa wenye uwezo kiuchumi wanakimbilia kuoa watutsi hivyo Dada zao wahutu wanakosa soko la kuolewa kutokana na kutokua na sura nzuri kama ilivyo kwa watutsi.nipo tayari kukosolewa kwani nami nimesimuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli kabisa sababu ndio hiyo.
 
Umeongea kitoto sana mkuu, huenda umeoa mtutsi (said umeishi nao) hivyo unajifariji.... sina utetezi thabiti wa hoja mezani ila sio kwa picha uliyowachorea hapo.


Jesus saves, I spend.
Hujajua tu kua ni mtutsi huyo jamaa?
 
kwanini asiolewe tu kwao huo ni umalaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kale ka mtindo ka kurusha maji, maarufu Kama kufungulia Bomba.

Big up huwa nafurahia hako kamchezo.
 
Mpaka hapa mimi sina cha kuongeza kuhusu hili, huu ndo ukweli na uhalisia
Tukiondoa unafiki na uzandiki tutsi girls huwezi kulinganisha na hawa wetu kwenye swala la msimamo katika mahusiano hata robo, naongea haya sababu nimeishi nao pia mtoto wa kitutsi kanizalia mtoto tena tuyefanana copylight.
Sema hawa watoto wa kitutsi kwa madomo zege kuwapata ni ngumu sana si kama hawa wa kwetu huku ambao hata ukitaka mia kwa siku utapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hiyo kalamu uliyotumua kuandika ndio inakwama kwama au muandiko wako ni mbaya tu?

Anyways, Jambo hili nililisikia pia mwaka 2005 kwa dada mmoja wa Kihangaza akisema hata wao hufanya hivyo pia na kinachotokea ni kwamba utatembelewa na mgeni toka kikeni na utaambiwa ni kaka au binamu na akikamilisha operation anaondoka mara moja.

Cha kufurahisha ni kwamba hawafanyi kwa sababu ya kutokuridhishwa nawe kimapenzi, au tamaa zake za ngono bali ni kampaini ya ku raise namba yao kutokana na mauaji ya kimbari ya Aprili 1994.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…