Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.

Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.

bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.

Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.

Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
Kwani hapa bongo wanaohangaika kupima DNA za watoto wao ni Watutsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea [emoji23]

Blackberry
Lile ni taifa teule Africa.

Kweli aisee!
Sijui kwanini wanapenda kuwapaisha hawa maboya yanajiuza lake zone huko bei chee kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea [emoji23]

Blackberry
Kwa kweli tuna overrate sana hawa wakimbizi, mi nawaona kama malaya tu wengine wamiuza K sioni uzuri wao wowote yaani washindane visu toka singida na manyala aaah wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa swali lakini au umekurupuka?
Nimeishi na watu hawa kwa miaka zaidi ya 20, nawajua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
rwanda au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mimi nilikatazwa na mama yangu mzazi. Nakumbuka siku hiyo niko na mchumba mwenyewe (nakiri wazi, kati ya wanawake ambao walikufa na kuoza kwangu huyu ni mmoja wapo) nikampigia mama simu na kumpa maelezo kisha wakasalimiana. Mchumba mwenrwe akafurahi sana, aliponirudishia simu mama akaanza kuniambia kwa kilugha jinsi walivyo (sikuwa nalijua hili na nilielezea nikijua ndio kujimwambafy kwa mama kumbe ndio naharibu) aliniambia afadhali uoe hata mwanamke mwenye sura kama wasira, kuliko mrembo wa kinyarwanda (hakujua kabila. Nilimwambia huyu ni mnyarwanda). Sitasahau jinsi mdada wa watu alilia tulipoachana na hata hakujua shida ni nini maana ilibidi nianze vitimbwi mpaka akahama kabisa na hadi leo sijui wapi alipo. Tulikutana mara moja alipokuja kwenye mahafali ya mdogo wake. Tulikutana kwenye gari, alinisema sana, alilaumu hakuna mfano japo tayari ilikuwa imepita miaka mitatu tangia tuachane. Gari nzima walikuwa wakitusikiliza hadi nikaona aibu. Hakuniambia anaishi wapi ila alinionesha picha ya mumewe mtarajiwa[emoji35][emoji35][emoji35]
ulikutana naye kagera??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi mambo bongo ndio zimetamalaki sasa, unaweza kuta ata wewe unayesoma hapa babayako si babayako
 
Back
Top Bottom