Udugu Feki
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 182
- 153
Mbona Stamina kasema dogo!!Stamina Yamemkuta, Niyonzima alikua Anatafuna yule Mrwanda
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Stamina kasema dogo!!Stamina Yamemkuta, Niyonzima alikua Anatafuna yule Mrwanda
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Kweli hiyo broHii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.
Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.
bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.
Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.
Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
Huyu dada ni muhutuNinachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea [emoji23]
Blackberry
Watutsi wanaweza wakazaa hata na kaka yake ,labda siku hizi dini iwaingie kichwani.Hujujajibu hoja Dada.
Ni culture au zinaa ya kawaida?
We ni wa pili nakusikia hiiAkija mgeni akwambie ni binamu mjomba sijui babu chunga saana.
Acha uongo
Mkuu pole sana [emoji23][emoji23][emoji23] tatizo mmezidi ujasusiNonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link ya comments yako ya kimasihara niisome.Ushuhuda ni huu juzi kAti nilikuja na uzi wangu mrefu tafuta usome ule kwenye kula kimasihara ndo nilimla huyo demu wa rwanda after 1 week ananiambia ana mimba nikaruka futi 100.