Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Iv nikuulize kitu wewe mdada, kwann hupendi kushea ni uchoyo,ubinafsi,au hofu ya kuachika,au kuogopa hela za mumeo kwenda kwa mtu mwingine! Nijibu vzr tu usinifokee!πŸ˜‚πŸ˜‚
Wivu Tu unanisumbua,yaani nitakuwa nawaza vile anavyonibembeleza,anavyoniambia ananipenda,vile tunafanya yetu kwamba yote hayo ni uongo??? Wala hanipendi,huko kwa bed ndo siwezi kitu kabisa anafanya na Mimi kwa kujikaza🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Yaani aende kwa mchepuko nijue then arudi kwangu niwe normal kabisa,akinigusa nigusike haiwezekani😎😎😎😎😎
Raha ya mapenzi bwana akili iamini uko peke yako,anaanza kukunyegesha toka mchana akiwa kazini mpaka akirudi mwilini ni shoti Tu zinapitaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Akikugusa Tu umeitikaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Kwa hiyo bwana sitaki sababu ya wivu Tu tena Nina wivu kwelikweli!!!!
 
Ulilibinuaje lijimama la watu 🀣 🀣
Kawaida tuu... Sema ndo hvo mwili wake ule lile lilikua zoezi tosha,,, maana mikono ilikua chini kiwili wili juu....

Huyu kila weekend akija lazima aje na ma yogurt haya ananipitishia ofisin pale..

Sasa hvi huwa naweka film flan za VIVAMAX aiseee wale watu wana style za ajabu hapo ndo nachukua maujuzi an...

Kuna style ukimuwka mtu kila swali utakalo muuliza yeye ni ndio ndio
 
Mmmh mbona umetaja uwanja wa nyumbani...πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ

Ni kweli naridhika huko at least maana wanajari,,
wana care ,,
wapo straight....

Kuna huyu mmoja alikua anapenda nile sana mpaka akaninunulia na unga wa lishe et...
Hivi si wanakuwaga wake za watu hao?
 
Hivi si wanakuwaga wake za watu hao?
Yes ni asilimia 90%>>>
Japo naokutana nao asilimia 60% ni singled ambao wale wanajiita independent hawana habari na kuolewa...

Mara chache ndo nakutana na hawa wenye watu wao japo hawa mara nyingi nawakwepa unakuta kwa mwezi nimepita nao 5 au 4

Kwa sasa nipo nao hao watatu natamani niachane nao ila nakuta it's risk maana mtu anakupa moyo wake akitegemea atapata faraja kwako...

Kuna huyu mmoja ana hardware kabisa na mwanae yupo advance huko shinynga huwa nashinda sana kwake ila akija mwanae ndo changamoto hataki nisogee kwake hapa nasbr siku nikutane na mwanae
 
Huu ndiyo ukomavu wa kwenye ndoa sasa.
 
Hongera yako mkuu, sema ukizoea hao mishangaz kuja kuwa kwenye mahusiano na watu wa rika lako itakuwa ngumu sana kwako
 
Hongera yako mkuu, sema ukizoea hao mishangaz kuja kuwa kwenye mahusiano na watu wa rika lako itakuwa ngumu sana kwako
Imekua ngumu na kweli nimepitia hiyo hali...
Just imagine kuombwa pesa kwangu inaweza kuwa ni mwanzo wa ku break na mtu kutokana na sijawahi zoeshwa hicho kitu..

Nimeanza kutembea na hawa watu mda sana hvo sikumbuki wala sijawahi ona mambo ya kuombana pesa...

Nimewaho toka na wa rika yangu ila.nikawa naona hayupo smart alafu drama nyingi an sijazoea kabisa..

Unakuta mtu anataka full attention as if ni mtoto... Wakati huku ni text straight tu

"" Upo wapi...
Nipo hom

Nakuja...
Poa...

Imeisha hiyo
 
Loh! Itabidi hata ukitaka kuoa uoe mshangazi sasa
 
Loh! Itabidi hata ukitaka kuoa uoe mshangazi sasa
Kuoa mshangazi hapana..
Tuseme kuoa hapana 🀣🀣🀣😁😁😁

Kuna kipindi nilikua natoka na maza flani hvi daah nikaja kupewa taarifa kuwa yule maza kanielewa kinoma na anaweza niwekea dawa nikamuoa kabisa..

Unaambiwa nilimla blok moja zito na chakula nikawa sili kabisa mana alikua analeta hom hapa nikawa nachukua alafu nawapa wanangu sana..
Kuoa nooooo
 
Eeeeh! Ngoja mshangaz mmoja ukubananishe kwenye 18 zake
 
Ukiweka mizani mezani, wanawake wa karne hii ni wachepukaji profeshono. Wanaume hawana hata asilimia 1. Kwa hiyo, mmewafunza wenyewe, muache kulalamika. Mwana kulifaindi, mwana kuligeti. Hayo maumivu mnayatakaga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…