Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Ukiweka mizani mezani, wanawake wa karne hii ni wachepukaji profeshono. Hata wanaume hawana hata asilimia 1. Kwa hiyo, mmewafunza wenyewe, muache kulalamika. Mwana kulifaindi, mwana kuligeti. Hayo maumivu mnayatakaga wenyewe.
Ni kweli mkuu..
Wadada wamekua wachepukaji proo aiseee

Mi kuna mke wa mtu anaweza nicheki kwa simu ya mumewe na tunachati fresh mpaka nashangaa aiseee daah šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ
 
😁😁hivi nyie wanaume wa Jeiefu mna shida gani huyo mmoja kapewa kaja kufungua na uzi lohšŸ˜€
Hapana ajapewa muongo yule...🫵🫵🤣🤣🤣 Namini mimi nakwambia...

Mfano..
Katika watu ambao nimekutana na watu wengi humu jf ni mimi sema nakua nipo na id ingine na kibiashra zaidi basi yaani tunakutana kikazi tu..

Najuana na wengi mno ni mtu na heshima zangu kabisa ujue 🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁
 
Usikute ni kweli kaamua kuja kuwatambia,,, sema kama ni kweli ni utoto anafanya
 
Si ukweli namini mimi...
🤣🤣🤣😁😁😁😁..

Watu kama wale wanafanya sisi wengine vijana wenye kujitambua tuonekane hamna kitu ila ndo hvo hili suala tutakemea vulivyo...

Ukikutana na mtu kila.kitu kiishie huko huko... Ila na nyie mna utoto wenu kibao an aiseee nimewanyooshea mikono
 
waifu material mi nishawahi fumaniwa na mke wa mtu.. sio fumanizi an jamaa alikuja akanipa onyo.moja kali mbele za watu...

Aiseee zile story zilisambazwa na wamama wa hapa mtaani aiseee jamni kuna watuwalijua kusambaza mpaka wageni wanaofika mtaani wakawa wanajua an mtu mgeni kafika kakaa week kanizoea kidogo tu unakuta ananiambia...

Sasa hii ikaanza niharibia ile nguvu ya kutoka na hawa watu mana nikuongelea kidogo mamb ya kulana anaanza kusema nilisikia hv hv nakosa nguvu...

Ilabidi niame.. nimeama huku nilipofika nimekaribisha na mtoto wa kwanza wa mama nyumba aiseee hii mtu nakula sio mda
 
Kuwa makini mkuuu, utakuja kuuponza😃😃
 
Si ukweli namini mimi...
🤣🤣🤣😁😁😁😁..

Watu kama wale wanafanya sisi wengine vijana wenye kujitambua tuonekane hamna kitu ila ndo hvo hili suala tutakemea vulivyo...

Ukikutana na mtu kila.kitu kiishie huko huko... Ila na nyie mna utoto wenu kibao an aiseee nimewanyooshea mikono
Utoto upi huo, uliona wapi mwanamke kaja kutangaza humu kama nyie mnavyofanya?
 
Ali
Aliyekujibu hivyo kama mwanaume basi atakuwa ana kisukari,wivu unamsumbua.

Ukiwa mwanaume uliyekamilika,kutulia na mwanamke mmoja katika kipindi chote cha uhusiano inakuwa ngumu sana.

Sisi hatuna tofauti na mbwa dume. Mbwa dume akiona jike tu anawehuka akili na Kuna muda midume ya kutoka kimara,mburahati,tandika na goba inaweza kumfungia safari mbwa jike aliyepo chanika kisa kufuata uroda.

Hiyo ndiyo asili ya uanaume. Tunaenda dominance. Siyo uhuni.
Mfano wewe ukiulizw hilo swali na mke wako utamjibu hivi?
 
Back
Top Bottom