Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.
Hivi, mkichepuka au mkibadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
- Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)
- Utulivu halafu mnanogewa
- Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili
- Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu
- Au ni tabia mbovu tu za kihuni
Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.