Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.

Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
  1. Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)

  2. Utulivu halafu mnanogewa

  3. Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili

  4. Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu

  5. Au ni tabia mbovu tu za kihuni

Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
Mapenzi haya mazoea wanawake wakiolewa wanaleta mazoea, ule uchafu uchafu na mambo ya hovyo ndo radha ya mapenzi, lakini wanawake wakisha olewa wanageuza tendo la kujamiana kama kitu cha heshima
📌Mwanamke kuwa mlezi kwa mumeo mchana
📌Mwanamke kuwa malaya kwa mumeo usiku
 
Kwa uzoefu wangu nadhani kuna mambo mengi yanayo nogesha mfn ukubwa wa matako pia ufundi na ile milio mimi napenda kuskiliza milio tofauti tofauti inaleta radha
 
Nyumba ndogo zenyewe hazina gharama? au huko ndiyo mnalelewa na mijimama?
Gharama zipo ila ni stahimilivu otherwise hiyo nyumba ndogo iwe maeneo ya kishua sana na nyumba yenyewe iwe ya viwango vya juu sana. Lakini nyumba nyingi ndogo huku kwetu hazina mambo mengi ni chumba kimoja, sebule, jiko na CHOO KIZURI kitu ambacho ni maradufu kama ukiamua kuwa na jumba kubwa
 
Sina maoni ila nataka nikuambie mtoa mada.

"Kila demu na utamu wake"
"Size,shape na ladha ya kitumbua hazifanani kamwe"
Ila ukipenda utamu wa aina flani, kwanini usiendelee kula huo huo? au ndiyo unakinai?
 
Chepuka ila kuzaa nje ya ndoa Ki kukweli ni kununua ugomvi usio kuwa wa lazima.
Sio kila mwanamke wakuzaa nae.

Tatizo bado hatuwezi kutofautisha kati ya kufanya mapenz kwasahabu ya starehe na kufanya mapenzi kwaajili ya kupata mtoto.

Elimu inahitajika sana kwenye hili swala. Watu wanapata watoto bila mipango ila lengo ilikuwa ni kukojozana tuu ndo hivyo hapo hapo mimba pia.
💯
giphy 22.GIF
 
Wanaume 5 mstari wa 7 unasema

Mwanamke ni mzuri na mtamu kwa mwanaume anayemfukuzia huyo mwanamke kabla hajamvua nguo na kumla. Akishamla hana utamu tena na uzuri bali kinachobaki ni je mwanamke huyo anaweza kumpa amani na faraja mwanaume? Kama hawezi basi ataonekana kituko tu.
Sawa, kama wanawake tumelipokea ✍️
 
Mapenzi haya mazoea wanawake wakiolewa wanaleta mazoea, ule uchafu uchafu na mambo ya hovyo ndo radha ya mapenzi, lakini wanawake wakisha olewa wanageuza tendo la kujamiana kama kitu cha heshima
📌Mwanamke kuwa mlezi kwa mumeo mchana
📌Mwanamke kuwa malaya kwa mumeo usiku
Natumai wanawake wanakusikia, hili ni kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom