Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Mapenzi haya mazoea wanawake wakiolewa wanaleta mazoea, ule uchafu uchafu na mambo ya hovyo ndo radha ya mapenzi, lakini wanawake wakisha olewa wanageuza tendo la kujamiana kama kitu cha heshima
📌Mwanamke kuwa mlezi kwa mumeo mchana
📌Mwanamke kuwa malaya kwa mumeo usiku
 
Kwa uzoefu wangu nadhani kuna mambo mengi yanayo nogesha mfn ukubwa wa matako pia ufundi na ile milio mimi napenda kuskiliza milio tofauti tofauti inaleta radha
 
Nyumba ndogo zenyewe hazina gharama? au huko ndiyo mnalelewa na mijimama?
Gharama zipo ila ni stahimilivu otherwise hiyo nyumba ndogo iwe maeneo ya kishua sana na nyumba yenyewe iwe ya viwango vya juu sana. Lakini nyumba nyingi ndogo huku kwetu hazina mambo mengi ni chumba kimoja, sebule, jiko na CHOO KIZURI kitu ambacho ni maradufu kama ukiamua kuwa na jumba kubwa
 
Sina maoni ila nataka nikuambie mtoa mada.

"Kila demu na utamu wake"
"Size,shape na ladha ya kitumbua hazifanani kamwe"
Ila ukipenda utamu wa aina flani, kwanini usiendelee kula huo huo? au ndiyo unakinai?
 
💯
 
Sawa, kama wanawake tumelipokea ✍️
 
Natumai wanawake wanakusikia, hili ni kweli kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…