Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Labda nikuulize na wewe,kati ya mwanaume anaye gombaniwa mtaani kwako na yule aliyetulia tu yupi anamvuto kwa wanawake wewe na wenzio?
MAGUFULI4LIFE.
MAGUFULI4LIFE.
Kweli hili jibu sikulifikiria, daah!Kutaka heshima na kuonekana rijali mbele za watu kwenye jamii na pia kuwacontrol wanawake maana wanawake wakijua kuwa una mwanamke mmoja tu ambaye ndo yeye anajishaua ila akijua wako wengi anatia adabu
Kulingana na data za idadi ya watu, hii si kweliLakini tuangalie hivi wanaume tuliopo tukisema kabisa tuwe na mwanake mmoja kuna wanawake watakufa bikra au bila watoto
Mtaa ninapokaa sijawahi kuona mwanaume anagombaniwa.Labda nikuulize na wewe,kati ya mwanaume anaye gombaniwa mtaani kwako na yule aliyetulia tu yupi anamvuto kwa wanawake wewe na wenzio?
MAGUFULI4LIFE.
Kwa hiyo umekubaliana na mimi au 🤣
Mimi ni nani nikubishie 🤣🤣🤣Kwa hiyo umekubaliana na mimi au 🤣
Ingekuwa rahisi tungekuazima mtwanguo utwange watatu utuletee mrejesho ila ss dahWanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.
Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
- Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)
- Utulivu halafu mnanogewa
- Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili
- Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu
- Au ni tabia mbovu tu za kihuni
Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
Wewe si mkongwe 😃Mimi ni nani nikubishie 🤣🤣🤣
elezeaKulingana na data za idadi ya watu, hii si kweli
Ahsante kwa muongozo...Jibu la mwanamke mwenzetu
View attachment 3423592
Warembo kama wewe Angel NylonJibu la mwanamke mwenzetu
View attachment 3423592
HuchomokkiiiiiWarembo kama wewe Angel Nylon
Baki njia kuuuu...usitafute visingizio 😝Ahsante kwa muongozo...
Akili kubwa sana hii!🙌Siku mkijua binadamu nayeye ni mnyama mtaacha kuuliza haya maswali!, binadamu kinachomchanganya na kumzuzua ni anapambana na asili mbili yani kuna muda anafuata tamaa za mwili na kuna muda anafuata utashi wa akili!.
Akili mambo yake ni kufuata sheria na tamaa hufuata hisia!, kinachoshinda ndio huwa kinachukua nafasi kwa muda huo. na ndio maana baadhi ya matendo mtu huyafanya halafu baadae akija kuulizwa hana majibu maana unauliza kitu kilichotumia tamaa kujibu jibu la mantiki!.
So yote kwa yote mi nionavyo kuna vitu hatujavifahamu bado na ndio maana ni ngumu kuwa perfect kwa asilimia mia moja, hiyo ni kwa utashi wetu ila kwa kilichoifanya asili yetu chenyewe ndo kinaona tupo sahihi!.
Tufanye tunayoyaweza kwa usalama hilo ndo lakuzingatia zaidi.
Maana hawakawii kugeuza kibaoShetani ameamua akujibu kimalaika ili usigutuke ukalianzisha...🤣
Fanya basi nisichomoke, nisione wala kusikia...Huchomokkiiiii
Ila ndio hivyo wapo wengi 😒
Nibakishe...Baki njia kuuuu...usitafute visingizio 😝
Njoo uniteke...uniibeFanya basi nisichomoke, nisione wala kusikia...
1. Kuna ladha tofauti?Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.
Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
- Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)
- Utulivu halafu mnanogewa
- Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili
- Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu
- Au ni tabia mbovu tu za kihuni
Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
Mkuu Werrason kitambo sana mwanangu.Akili kubwa sana hii!🙌