Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Kwamb
Kwamba unataka umle mwanae pia?
 
Kwa
Kwahiyo uliyowapa chakula ndo wamerogwa nakamura huyo mshangazi wako siyo
 
Tena
Wanaume wasio na nguvu za kiume hawako desperate. Wauzaji wa booster ndo wako desperate. Na wateja wengi hawana shida ya nguvu za kiume. Wanataka booster tu ili wakomoe watu.
Wauza madawa wanadanganya watu wanasema kukojoa kabla ya saa nzima ni ugonjwa, au ukikojoa afu dudu ikalala napo ni ugonjwa, kwamba inatakiwa uunganishe bao kabla haijalala, hizo zote ni normal physiology, wanasema hivyo wakijua ni wengi wapo hivyo(ambapo ni hali za kawaida), ili wapate wateja wa dawa.
 
Uzuri wa mwanamke umebebwa na bao la tatu...likishatoka hilo mwanamke ni kama kenge tuu
 
Kwa ufupi tuu...yaani nyie wanawake mnavyomuona mwanaume aliyekosa hela basi na sie wanaume tunawaona hivyo hivyo baada ya kumwaga bao la tatu
 
Joh
Wanaume km mijogoo ikiona tetea kanona anakimbiza anampanda, akiona mgonjwa kakonda anakimbiza anmpanda, akiona tetea na vifaranga naye anamuungia anampanda, akiona bata kakamkalia vibaya naye anampanda..!!
Jogoo hampandi kuku mwenye vifaranga, au hujawahi kufuga kuku?
 
Achana na hayo mambo kjn, wote humu tunalomba, ila siyo mama na mwanae, huo ni uchafu na siyo tamaduni za kiafrika.
 
Hapo umesahau namba SITA 6. ambayo; wanawake usiku na mchana, wanatafuta mitego ya kutega wanaume, kila siku, kuvaa ndivyo sivyo, kuweka vigodoro, kujipaka mkoroge.....ili mradi jamaa waseme, na wakisha topoa, kwishaaa.
Ndo maana, inasemekana IBILISI mkuu ni mwanamke!!!
 
mmkinachonipelekeaga kuchepuka n huwa nataka tu kuona picha ya hisia ..... huyu binti / mwanamke/ mshangazi nikiwa namnaniuuu atakuwa anaonekanaje akiwa katika hisia .
 
mmkinachonipelekeaga kuchepuka n huwa nataka tu kuona picha ya hisia ..... huyu binti / mwanamke/ mshangazi nikiwa namnaniuuu atakuwa anaonekanaje akiwa katika hisia .
Kumbe huwa mnapenda kuona hisia zikiwa zimetukamata, tumelegea, hatujielewi elewi 🤣🤣🤣

Kwahiyo tukifikiri mnapenda kuchomeka tu mmwage 🤣🤣🤣 tunakua tumekosea sana 🤣!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…