Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Utapokimbilia mahala kwenye msiba kitendo hicho ni ibada iwe kwako au kwao
Unataka kushiriki ibada ipi tena

Kesho mtakuja kusema kumsaidia mtu ambae sio imani yako utakuna umeririki ibada ya mtu mwingie ni kosa
Mnasahau ya kua kutenda jambo jema ni ibada
 
Daah punguzeni udini hautawasaidia kitu dini zenyewe zote zimeletwa na Wazungu na Waarabu mnatengana kwa vitu mlivyoletewa na mnakua maadui kabisa.
Wakristo wa Jf wao kutwa mada kuu ni kutukana waislam na uislam, utadhani huo udini wanaoupandikiza ukikomaa ukaleta vita wao hawatohusika, watu wa ajabu sana, kwani huko makanisani mahubiri makubwa ni juu ya kuwatukana waislam au? Hizo dini zenu zitatuletea machafuko huko tuendeko,
Bora siye wapiga beer hatuna time na dini zenu
 
Kwani hujui unapokula nyama ya mnyama aliyechinjwa na muislam unakuwa unashiriki ibada yake au unajitoa akili.
 
Halunaga mkristo ana muda na muislam huo ni uongo,always Waislam ndio huwafatilia wakristo.
 
Kwani hujui unapokula nyama ya mnyama aliyechinjwa na muislam unakuwa unashiriki ibada yake au unajitoa akili.
Ndio usile sasa mkuu, nyie wapuuzi mnawaza udini tu,kutwa mnaphirana huko lakini mnajifanya watu wa Mungu
 
Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Kama mazishi ya mkristo hayahudhuriwi na muislam kiku-quruan, na ikatokea mkristo amefia Pemba na hana ndugu, ataoza anuke kwa kuwa na kuitenga maiti yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…