Maneno mengi lakini hamna kitu na ndio maana kila siku masheikh wana tuhusia tusome tusidharau na kuicha kusoma dini, ipo wazi mtume kaamrishwa kuhusu jirani, pia ktk jirani pa ku angalia sana , ndio maana nikasema ikiwa jirani yu mgonjwa hapo sawa ila andiko lina kubali ila siyo kumzika kwa sababu ukimzika utashiriki ibada za ukristo, pili kuna kuchangamana na wanawake, kwanza kikao chochote asichotajwa Allah na mtume hicho kikao ni batili, pili hapo muislamu ata ingizwa mafundisho yasiyo sahihi kwake pia kuna hii aya
Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao
Pia ku changamana kati ya mtume na manaswara kupo wazi , rejea Quran , Hadith case study mikataba ya waislamu chini ya mtume na makafiri
Ikiwa mzee Ibrahimu ali ammliwa kumuacha baba yake asiyefuata uislamu, vipi kuhusu sisi ni Bora kuliko ibrahimu