Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Waafrika ndio waliingizwa mkenge na hizo walizo danganywa kwamba ni dini wakati ni tamaduni tu za watu waliowazidi akili.

Unabadilishiwa jina unapewa la kwao eti ndio utaingia mbinguni.😂😂😂
 
Mkuu, kwa uislamu siyo lazima, nina maana ya kwamba haulazimishi kua muislamu, pia Allah hato pungukiwa chochote au kuzidi chochote wewe ukiwa muislamu au kutokua muislamu, hivo ni maamuzi yako
 
Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
ujafafanua Vizuri labda sababu ya ujinga wako na elimu yako ya Dini. Mazishi ni ibada na hizi ibada zimetofautia kuna ibada za kishetani yaani zimeanzishwa na binadamu mfano kuaga maiti kwa mara ya mwisho hiyo Muisilamu amekatazwa

lakini jirani akifa tunaruhusiwa kwenda msibani hayo mengine tunawaachia wenyewe
 
Swali je unaenda kuzika kwa misingi ipi , na kule msibani unaenda kusikia nini na kujifunza nini,
Mbona kila kitu kipo wazi jamani , huu ukaidi ni unafiki mkubwa sana, pia huku mazikoni ni kuchangamana na wanawake yaani hilo tukio ni kosa juu ya kosa
 
ujafafanua Vizuri labda sababu ya ujinga wako na elimu yako ya Dini. Mazishi ni ibada na hizi ibada zimetofautia kuna ibada za kishetani yaani zimeanzishwa na binadamu mfano kuaga maiti kwa mara ya mwisho hiyo Muisilamu amekatazwa

lakini jirani akifa tunaruhusiwa kwenda msibani hayo mengine tunawaachia wenyewe
Hiyo ruhusa ya kushiriki misiba ya kinaswara, ki yahudi na ki Pagani , ki kafiri umeitoa wapi ,
Hapo ndio tunapotaka kujua
 
Kwanza ifahamike si kila mtu anayevaa kanzu au kujiita Sheikh ni Sheikh kweli,kwahiyo msiyapokee mambo kibubusa tu

Pili,Uislamu umeweka mkazo mkubwa sana katika utengamano na jamii,yani ni muhimu sana jamii kushirikiana kwa hali na mali,ndio maana ujirani katika mtazamo wa kiislamu ni jambo kubwa na muhimu sana.

Mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu alikuwa anahusiwa sana na Malaika Jibril mara kwa mara wanapokutana juu ya swala zima la kuwajali majirani

Sasa je utawajali vipi majirani kama hauhudhurii furaha yao au wakati wa huzuni yao?

Kwahiyo kuhudhuria misiba inaruhusiwa ila kuna baadhi ya mambo hatutakiwi kushiriki kama kuangalia maiti kama wasio waislamu wanavyofanya,hata ndani ya uislamu maiti inaangaliwa na ndugu wa karibu tu lkn sio kila mtu anaweza kumuangalia maiti

Kwahiyo kushiriki misiba ni ruhusa na hata kuzika ila kuna baadhi ya ibada tunajitenga nazo,je kuna mwenye shida na hilo?
 
Waafrica tunajidai tunapenda dini kuliko waliotuletea, nchi maskini mtu anawaza dini!
Upuuzi wa mwisho!
Kama unaona ni upuuzi hilo ni tatizo lako na si letu

Kuna watu ambao dini hawaijui ndio wanaifanya ionekane haina maana sana,lkn ambao wanaijua dini na mafundisho yake sahihi basi huwa ni dira nzuri ya mustakabali wa maisha yao

Kwahiyo msihukumu mambo kwa makosa ya uelewa mbovu wa wengine juu ya dini
 
Kwanza ifahamike si kila mtu anayevaa kanzu au kujiita Sheikh ni Sheikh kweli,kwahiyo msiyapokee mambo kibubusa tu

Pili,Uislamu umeweka mkazo mkubwa sana katika utengamano na jamii,yani ni muhimu sana jamii kushirikiana kwa hali na mali,ndio maana ujirani katika mtazamo wa kiislamu ni jambo kubwa na muhimu sana.

Mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu alikuwa anahusiwa sana na Malaika Jibril mara kwa mara wanapokutana juu ya swala zima la kuwajali majirani

Sasa je utawajali vipi majirani kama hauhudhurii furaha yao au wakati wa huzuni yao?

Kwahiyo kuhudhuria misiba inaruhusiwa ila kuna baadhi ya mambo hatutakiwi kushiriki kama kuangalia maiti kama wasio waislamu wanavyofanya,hata ndani ya uislamu maiti inaangaliwa na ndugu wa karibu tu lkn sio kila mtu anaweza kumuangalia maiti

Kwahiyo kushiriki misiba ni ruhusa na hata kuzika ila kuna baadhi ya ibada tunajitenga nazo,je kuna mwenye shida na hilo?
Maneno mengi lakini hamna kitu na ndio maana kila siku masheikh wana tuhusia tusome tusidharau na kuicha kusoma dini, ipo wazi mtume kaamrishwa kuhusu jirani, pia ktk jirani pa ku angalia sana , ndio maana nikasema ikiwa jirani yu mgonjwa hapo sawa ila andiko lina kubali ila siyo kumzika kwa sababu ukimzika utashiriki ibada za ukristo, pili kuna kuchangamana na wanawake, kwanza kikao chochote asichotajwa Allah na mtume hicho kikao ni batili, pili hapo muislamu ata ingizwa mafundisho yasiyo sahihi kwake pia kuna hii aya

Hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao

Pia ku changamana kati ya mtume na manaswara kupo wazi , rejea Quran , Hadith case study mikataba ya waislamu chini ya mtume na makafiri

Ikiwa mzee Ibrahimu ali ammliwa kumuacha baba yake asiyefuata uislamu, vipi kuhusu sisi ni Bora kuliko ibrahimu
 
Nyinyi ndio ndugu zetu ambao mnasoma dini kisha huelewa wenu unakuwa una mashaka

Kwani kuhudhuria katika maziko naingia kanisani? Nikienda makaburini kuzika je nashiriki ibada yao ya maombi?

Kwahiyo kufuata mila zao ni kushiriki misiba na maziko yao?

Kuchangamana na wanawake ni kwenye misiba tu? Vipi huko masokoni tunakoendaga,huko mashuleni na makazini?

Uisome dini kwa kuilewa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom