kindume
Senior Member
- Feb 25, 2017
- 110
- 54
- Thread starter
- #21
umentoa tongotongoNi kweli hawa jamaa wamebarikiwa.
Utaona story ya Daudi na Goliath inavyojirudia pale middle east.
Mwaka 1967 Waisrael waliwapiga mataifa matano ya Kiarabu kwa siku sita. Siku ya saba wakapumzika, kama vile Mungu alivyoumba Mbingu na dunia sikU sits , na siku ya 7 akapumzika.
Walikua na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache lakini walishusha kichapo kilichowaogopesha hadi Taifa la Kisovieti LA Urusi.
Haya hayawezi kutokea bila kua na Baraka za Mungu.
Yapo majaribio kadhaa ya kuwafuta katika Uso wa nchi yamefanywa na waarabu, wajerumani, yakashindwa vibaya sana.
Utaona kila taifa lililoiunga mkono Israel lilipiga hatua kubwa kinyume na Yale yaliopingana nayo hata Leo.
USA ilibarikiwa sana ilipoanza juhudi za kuwaunga mkono, hali yao ilizorota pale walipokua wakiwakandamiza kisera.
Urusi iliangushwa.
Waarabu mpaka Leo wameshindwa kuungana dhidi ya Israel.
Obama aliwapinga sana matokeo yake chama chake kikashindwa dhdi ya bwana Trump,
Nyerere alikataa kuwasaidia wasiokoe mateka wao Uganda lakini Kenya walikubali matokeo yake IDD Amin akavamia Tanzania.na so Kenya.
Kwa ufupi hata Leo wako watakaosema waisrael si lolote kwasababu ya uchache wao nk. Ila wakithubutu wanaangamia.
Israel ndio INA asili ya manabii, mitume watakatifu wanaosomwa zaidi duniani, akiwemo mkombozi Yesu Kristo.
Kupitia Israel mataifa yote yatabarikiwa.
So kwa ufupi IPO baraka katika Israel