Je ni kweli Waisrael wamebarikiwa kuliko binadamu yeyote duniani?

Kwahyo wengine syo wa mwenyezi Mungu !! Yaani kwa ujinga huu Arab nation hakutakaa kutulie koz akili za Giza!!.. Eti wa mwenyez Mungu sasa kuna kiumbe kilichopo chin ya jua kisicho cha Mungu!!.
Naomba mungu awafungue hizo akil za usiku
Tatizo kila mmoja anachangia kwa ushabiki na kwa njia hio kamwe hamtaelewana... Kumbukeni sisi sote ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja... Shetani tu ametuchonganisha!!!
 
adolf Hitler aliwaua waisrael Zaidi ya milioni sita ,,,mbona hawakujiokoa? kama sio kule RUSSIA baada ya jeshi la Hitler kushindwa vita sababu ya barafu sasa hivi Waisrael wasingekuwepo kwenye ramani ya dunia
Aende SAA iz aone kama ataweza ua hata mia!!...
Mi nafikiri mkuu uwezo wako wa kufikir n mdogo!! Sidhan kama hata kama midaharo ulikua unahudhuria kama ulihudhuria bas nafikir ulikua msikilizaji!!.. Maana syo kwa hoja hizi!!.
Ivi uliona wapi mateka anakua jeuri au ananafasi ya kupambana kama alivyokua huru!!.. Ivi ww ukiwa gerezan unaweza endesha vita au kujitetea na maasi juu yako!!?
Hitler aliwaweza kwasababu walikua wapo nchini kwake syo nchini kwao!!.. Nguvu yote alikua NATO silaha,jeshi na vyombo vyote vya dola!!... Ni sawa tu Leo serikali ikaanza kuua kabila flan !!?? Ikatumia dhana zote za jeshi,mabomu bunduki n.k wakat raia hawamiliki silaha kwa hapo unafikir kuna atakae salimika!!??
Ndivo ilivokua

Walivokua utumwani misri hivyo hivyo waliuliwa haikuepo namna lakin saaiz nani atawasogelea.....
Uwe unafikir mkuu
 
Wana wa Israel walivuka Red Sea na kusambaa bara la Afrika.
Ni kweli kabisa, wana wa Israel halisi ni sisi wafrika kabila la Yuda na ndio hasa uzao wa Mfalme Daudi. Hizo historia nyingine ni batili.
Kazazi hiki kwa sasa kinafuata maisha haliyoishi Nabii Ayubu.
 
Accomplishmenents walizofikia Israeli is a short period ni remarkable. Hawa watu walitawanyika dunia nzima walipopewe ardhi na kuunda nchi ya Israel mwaka 1948. Yaani walikusanya watu wao dunia nzima, hawakuacha damu yao itangetange.
Just imagine nchi tulizopata uhuru 1960s, tunaweza jilinganisha na Israel?

Guide: Why are Israel and the Palestinians fighting over Gaza? - CBBC Newsround
Ukitaka kujua akili za hawa jamaa waulize Palestine. Israel walipewa sehemu ndogo ya Palestine with claims kwamba its their God given land kutokana na evidence za kibiblia, ila sasahivi wamewashika masikio Palestine. Imagine, umemkaribisha mgeni kwako alafu ajifanye ndo mwenye nyumba.
Mkuu ulishawahi kufika Israel japo kukaa wiki moja tu? au hizi habari unazungumza kwa uzoefu wa kusoma au kusikia kwa watu?
 
adolf Hitler aliwaua waisrael Zaidi ya milioni sita ,,,mbona hawakujiokoa? kama sio kule RUSSIA baada ya jeshi la Hitler kushindwa vita sababu ya barafu sasa hivi Waisrael wasingekuwepo kwenye ramani ya dunia
To understand the future we have to go back mpaka mwaka 63 BCE wakat Alexandrian jews walipoamia mji wa Roma italia kabla ya vita vya pili vya dunia idadi ya waisrael walikuwa milion 9 pia inasemekana waisrael milion 6 walikuwa katika kile kinachoitwa holocaust japo mbeleni tutakuja kuchambua kwa makini tujue ni kweli idadi hii ni kweli? Waisrael na jamii hzi za kiisrael Ashkenazi jews,sephardi jews,turkisa jews,italian jews ,Romaniotes,Gergian ,crimean karaites jews walikuwa wanaishi katika nchi za France,Germany,Uk.Russia,poland,spain,Azerbaijan,Gergia,Turkey,Italia,Ukraine,Lithuania na Nchi za Baltic

Katika nchi zote waisrael wanakadiliwa kuishi Italia katika mji wa Roma kwa miaka 2000 Kipindi kirefu kuishi kuliko walivyokuwa wakiishi katika nchi nyingne za Ulaya sasa twende mpaka January 30,1933 mpaka May 8,1945 katika kile kinachoitwa mauji ya Holocaust ambae inasemekana Mr Adolf Hitler aliyafanya chini ya mwamvuli wa chama cha Nazi Germany kwanza tunatakiwa kujua idadi ya waisrael ulaya mwaka 1933 walikuwa milion 9.5 huku milion 4 wakiwa Germany So unaweza kuona Germany ndo ilikuwa na waisreal wengi kwa idadi ya nchi moja moja pia tunatakiwa kujua waisrael duniani wamejikita katika sector ya vyombo vya habari na Banks sasa basi ukiweza kumiliki vyombo vya habari then ukaweza kumiliki Banks kifupi utakuwa umeiteka dunia kwani fedha na habari ni taasisi muhimu sana ktk maisha ya binadamu kwani wanasema information is power na pia uongo wowote utakao sema utaonekana ni ukweli kwni wanadamu wengi wanaamini vyombo vya habari kama vyanzo vya taarifa

Sasa tuchambue kidogo juu ya taarifa za mauwaji haya ya kutisha wanayosemekana yametokea na Mr Hitler ndo master mind

1 Idadi ya waisrael nchini Germany aikuwai kuzidi milion 4.5 hii ni mpaka mwaka 1945

2 Idadi ya waisrael inayotajwa kabla na baada ya vita vya ii vya dunia
* Idadi ya waisrael duniani
1929-15,630,000
1936-15,753,633
1938-15,748,091

Idadi ya waisrael katika vita
1940-15,319,359
1942-15,192,089
1947-15,688,259
1948-15,763,630

So ukiangalia kwa makini utaona idadi ya waisrael duniani toka mwaka 1929-1948 inacheza kwenye milion 15 sasa ao milion 6 ilikuwaje???

Kabla ya vita na mpaka mwaka 1942 kulikuwa na idadi kubwa ya wahamiaji wa kiisrael wakiama kutoka nchi za Germany,Austria, Czechoslovakia na Baltic states idadi yao inakadiliwa kufikia 969,000
Baada ya vita yani 1948-1970 waisrael 1,548,000 waliama kutoka ulaya na kwenda US,Israel,South America,Canada na Australia

Mwaka 1943 takimu za uhamiaji za US zinaonyesha wakimbizi zaidi ya 584,860 wa israel walipatiwa hifadhi na kuingia US kutoka Ulaya

Mwaka 1985 wizara ya fedha ya Germany ilikuwa inatoa Survior pensions kwa waathirika ya vita vya dunia lakini cha kushangaza zaidi ya maombi 6-7 Milion yalitoka israel kitu cha kushangaza ni kwa nini yawe maombi mengi hvyo wakat Germany ilikuwa na waisrael milion 4tu na wengine walkimbia hata kabla ya vita vya dunia ??? na pia inasemekana waisrael milion 6 wamekufa na wauaji ni Germany?? mpaka sasa ni ngumu kuthibitisha juu ya mauaji hayo kwani kwenye camps za Germany zilizotumika kuwatesa waisrael ni Auschwitz 1.1 Milion,Majdanek 60,000 Belzec 483,000 Sobibor 170,000 Treblinka 870,00 pamoja na camps nyingne ndogo ndogo jumla ilikuwa ni 221,436

Sasa ukijumlisha idadi yote hata useme walikufa wote bado idadi itakuwa 2,121,434 japo wengi walifanikiwa kutoroka
Sasa basi nakuachia jibu ww kuwa mauwaji wa waisrael milion 6 ni kweli au si kweli but kumbuka hakuna jibu la YES or NO dunian jibu ni maelezo maneno yes na No si kwa ajili ya kujibia maswali yana kazi yake nyingne

laki si pesa.
https://www.jamiiforums.com/members/laki-si-pesa.305198/
 
Yaan we jina tu ISIS !! Afu unadhan nitaamin chochote toka kwako kuhusu Israel!!... we ningekwambia wasyria ndo wanaakil dunian tungeelewana!!... Bt for that I'm sorry ISIS
Usijibu kabla ya kunijua, Mimi ni Goddess ISIS, a Godess with 10000 names, OSIRI, ISIS and HORUS pls google. Mwelimishe mwenye hekima azidi kupata hekima!
 
Mauaji ya waisrael nchini ujerumani ni uwongo mtupu!
 
Accomplishmenents walizofikia Israeli is a short period ni remarkable. Hawa watu walitawanyika dunia nzima walipopewe ardhi na kuunda nchi ya Israel mwaka 1948. Yaani walikusanya watu wao dunia nzima, hawakuacha damu yao itangetange.
Just imagine nchi tulizopata uhuru 1960s, tunaweza jilinganisha na Israel?

Guide: Why are Israel and the Palestinians fighting over Gaza? - CBBC Newsround
Ukitaka kujua akili za hawa jamaa waulize Palestine. Israel walipewa sehemu ndogo ya Palestine with claims kwamba its their God given land kutokana na evidence za kibiblia, ila sasahivi wamewashika masikio Palestine. Imagine, umemkaribisha mgeni kwako alafu ajifanye ndo mwenye nyumba.
Upo aware kwamba hio ardhi wamepewa na hawajajipa na hadi leo wanasaidiwa.

Israel wanasaidiwa matrilioni ya hela na nchi kama marekani, jiulize mwenyewe kwanini mtu aliebarikiwa na mwenye akili sana anategemea misaada? Tofauti ya israel na nchi za kiafrica ni kwamba marekani wanasamehe mikopo wanayoipa israeli wakati sisi tunaendelea kudaiwa. Ila wote tunategemea nchi za magharibi za marekani na washirika wake kupata msaada

U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
 
Its true!!... We waache wanaobishana waendelee!!
Hawa jamaa n nomaa!! Ni blessed from God like no others!!
In short waarabu wamewapiga na kupanda nao lakini WAME BOUNCE in 1000 times!!...
Toka taifa hili lilivoanzishwa 1948 Waarabu wamekua wakipambana kuiondoa Israel wameshindwa hadi Leo ...waisrael wenyewe wachache tu lakin kwa udogo wao wameshindikana Waarabu na washirika wao wanahaha kila kona!!... These pple are blessed we ukiona mtu mapovu yanamtoka ujue n mshirika wa waarabu!!...
INAVOSEMEKANA "NA WALITAWANYIKA DUNIA NZIMA UTUMWANI NA WATAPORUDI HAMNA TAIFA LITAKALO WEZA KUWANG'OA.."" Nasikia haya kunasehem yameandkwa I'm not good in religious matter
Hata wao wanahaha kila siku na washirika wao kuiekea vikwazo iran, kundi dogo tu lililokuwa supported na irani linaloitwa hezbollah liliwapiga vibaya mno waisrael wakarudi kwao, hadi leo wanawaonea wananchi wa palestina wanaopigana na silaha duni wengine hadi mawe lakini hawagusi mpaka wa lebanon.

Na kama kawaida yao israel wakipigwa wanaenda kusema kwa baba yao marekani kuomba msaada lakini hawakusaidiwa kipindi hiki hivyo wakaondoka kwa aibu lebanon kurudi kwao, hii ilikuwa ni vita ya siku 34 huko lebanon.

Isome zaidi hapa jinsi gani walishindwa

http://www.counterpunch.org/2006/10/13/how-hezbollah-defeated-israel-2
 
Nani baba kati israel na marekani?..kama marekani ni baba kwanini..kila rais wao wa chama chochote kile akitaka kura ni lazima akaombe kura kwa kundi la israel liishilo marekani...tena kwa kuwa na mkutano nao ambao ni maalum..na ni lazima aeleze wazi sera zake zinazoihusu israel?..vinginevyo hapewi kura..sasa hapo nani baba?
Aende SAA iz aone kama ataweza ua hata mia!!...
Mi nafikiri mkuu uwezo wako wa kufikir n mdogo!! Sidhan kama hata kama midaharo ulikua unahudhuria kama ulihudhuria bas nafikir ulikua msikilizaji!!.. Maana syo kwa hoja hizi!!.
Ivi uliona wapi mateka anakua jeuri au ananafasi ya kupambana kama alivyokua huru!!.. Ivi ww ukiwa gerezan unaweza endesha vita au kujitetea na maasi juu yako!!?
Hitler aliwaweza kwasababu walikua wapo nchini kwake syo nchini kwao!!.. Nguvu yote alikua NATO silaha,jeshi na vyombo vyote vya dola!!... Ni sawa tu Leo serikali ikaanza kuua kabila flan !!?? Ikatumia dhana zote za jeshi,mabomu bunduki n.k wakat raia hawamiliki silaha kwa hapo unafikir kuna atakae salimika!!??
Ndivo ilivokua

Walivokua utumwani misri hivyo hivyo waliuliwa haikuepo namna lakin saaiz nani atawasogelea.....
Uwe unafikir mkuu

Upo aware kwamba hio ardhi wamepewa na hawajajipa na hadi leo wanasaidiwa.

Israel wanasaidiwa matrilioni ya hela na nchi kama marekani, jiulize mwenyewe kwanini mtu aliebarikiwa na mwenye akili sana anategemea misaada? Tofauti ya israel na nchi za kiafrica ni kwamba marekani wanasamehe mikopo wanayoipa israeli wakati sisi tunaendelea kudaiwa. Ila wote tunategemea nchi za magharibi za marekani na washirika wake kupata msaada

U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
 
To understand the future we have to go back mpaka mwaka 63 BCE wakat Alexandrian jews walipoamia mji wa Roma italia kabla ya vita vya pili vya dunia idadi ya waisrael walikuwa milion 9 pia inasemekana waisrael milion 6 walikuwa katika kile kinachoitwa holocaust japo mbeleni tutakuja kuchambua kwa makini tujue ni kweli idadi hii ni kweli? Waisrael na jamii hzi za kiisrael Ashkenazi jews,sephardi jews,turkisa jews,italian jews ,Romaniotes,Gergian ,crimean karaites jews walikuwa wanaishi katika nchi za France,Germany,Uk.Russia,poland,spain,Azerbaijan,Gergia,Turkey,Italia,Ukraine,Lithuania na Nchi za Baltic

Katika nchi zote waisrael wanakadiliwa kuishi Italia katika mji wa Roma kwa miaka 2000 Kipindi kirefu kuishi kuliko walivyokuwa wakiishi katika nchi nyingne za Ulaya sasa twende mpaka January 30,1933 mpaka May 8,1945 katika kile kinachoitwa mauji ya Holocaust ambae inasemekana Mr Adolf Hitler aliyafanya chini ya mwamvuli wa chama cha Nazi Germany kwanza tunatakiwa kujua idadi ya waisrael ulaya mwaka 1933 walikuwa milion 9.5 huku milion 4 wakiwa Germany So unaweza kuona Germany ndo ilikuwa na waisreal wengi kwa idadi ya nchi moja moja pia tunatakiwa kujua waisrael duniani wamejikita katika sector ya vyombo vya habari na Banks sasa basi ukiweza kumiliki vyombo vya habari then ukaweza kumiliki Banks kifupi utakuwa umeiteka dunia kwani fedha na habari ni taasisi muhimu sana ktk maisha ya binadamu kwani wanasema information is power na pia uongo wowote utakao sema utaonekana ni ukweli kwni wanadamu wengi wanaamini vyombo vya habari kama vyanzo vya taarifa

Sasa tuchambue kidogo juu ya taarifa za mauwaji haya ya kutisha wanayosemekana yametokea na Mr Hitler ndo master mind

1 Idadi ya waisrael nchini Germany aikuwai kuzidi milion 4.5 hii ni mpaka mwaka 1945

2 Idadi ya waisrael inayotajwa kabla na baada ya vita vya ii vya dunia
* Idadi ya waisrael duniani
1929-15,630,000
1936-15,753,633
1938-15,748,091

Idadi ya waisrael katika vita
1940-15,319,359
1942-15,192,089
1947-15,688,259
1948-15,763,630

So ukiangalia kwa makini utaona idadi ya waisrael duniani toka mwaka 1929-1948 inacheza kwenye milion 15 sasa ao milion 6 ilikuwaje???

Kabla ya vita na mpaka mwaka 1942 kulikuwa na idadi kubwa ya wahamiaji wa kiisrael wakiama kutoka nchi za Germany,Austria, Czechoslovakia na Baltic states idadi yao inakadiliwa kufikia 969,000
Baada ya vita yani 1948-1970 waisrael 1,548,000 waliama kutoka ulaya na kwenda US,Israel,South America,Canada na Australia

Mwaka 1943 takimu za uhamiaji za US zinaonyesha wakimbizi zaidi ya 584,860 wa israel walipatiwa hifadhi na kuingia US kutoka Ulaya

Mwaka 1985 wizara ya fedha ya Germany ilikuwa inatoa Survior pensions kwa waathirika ya vita vya dunia lakini cha kushangaza zaidi ya maombi 6-7 Milion yalitoka israel kitu cha kushangaza ni kwa nini yawe maombi mengi hvyo wakat Germany ilikuwa na waisrael milion 4tu na wengine walkimbia hata kabla ya vita vya dunia ??? na pia inasemekana waisrael milion 6 wamekufa na wauaji ni Germany?? mpaka sasa ni ngumu kuthibitisha juu ya mauaji hayo kwani kwenye camps za Germany zilizotumika kuwatesa waisrael ni Auschwitz 1.1 Milion,Majdanek 60,000 Belzec 483,000 Sobibor 170,000 Treblinka 870,00 pamoja na camps nyingne ndogo ndogo jumla ilikuwa ni 221,436

Sasa ukijumlisha idadi yote hata useme walikufa wote bado idadi itakuwa 2,121,434 japo wengi walifanikiwa kutoroka
Sasa basi nakuachia jibu ww kuwa mauwaji wa waisrael milion 6 ni kweli au si kweli but kumbuka hakuna jibu la YES or NO dunian jibu ni maelezo maneno yes na No si kwa ajili ya kujibia maswali yana kazi yake nyingne
Hzi takwimu ukiangalia kuanzia hapo 1929-1938 Kuna mtiririko mzuri wa tarakimu unaoashiria ongezeko la JEWS kwa S' bu jews hawakua ktk Risk ya kuuawa ktk WWI..
But when it comes to the other Statistics from 1940 -1948, Mfano kuanzia 1940-1942 Ukitoa hpo utakuta kuna Deduction ya almost 200, 000 Number of jews, Lakini ukiendelea mpk 1948 Utaona walianza kuongezeka tena,Ss how Does this Happen wakati inaeleweka Kbs kipindi cha Vita Hawa watu hawakua ktk nafasi nzuri ya Kuzaliana kwa kiasi Hicho, hata km wapo waliohamia ktk nchi nyingine za ulaya n etc, Na ht km hawakufikia milioni 6 Ktk holocaust, Lets say waliouawa walikua milioni 2..

milioni 2 Ni number kubwa, kwann bdo hzo takwimu hazikushuka hata kwa Idadi ya Milioni 2 au hata 1..
This means kwakua mauaji yalifanyk in WWII BSI hzo takwimu kuanzia miaka ya 1940,1942,1943-1945 Ingeathiriwa tu na Punguzo kubwa la Mauaji hayo, ingeshuka kufikia hata 14M or 13M
lakini that hasnt HappeneD!!..
Kuna mashaka Hapo ktk hzo takwimu mkuu
 
Nani baba kati israel na marekani?..kama marekani ni baba kwanini..kila rais wao wa chama chochote kile akitaka kura ni lazima akaombe kura kwa kundi la israel liishilo marekani...tena kwa kuwa na mkutano nao ambao ni maalum..na ni lazima aeleze wazi sera zake zinazoihusu israel?..vinginevyo hapewi kura..sasa hapo nani baba?
Hapewi kura? Inamaana wasipopiga kura wao raisi hashindi?

Na una uhakika anaomba kura kwa waisraeli tu?

Last time naangalia ni watu weusi na hispanic ndio wamemnyima uraisi clinton,

Kipindi wanaenda kuomba kura kwa watu weusi na wahispanic walikosea tu israeli peke yao ndio wenye haki?

Na kama wao israeli wana nguvu kwanini
1. Wakipigwa vita wanaomba msaada wa kijeshi marekani, vita ya 1973, vita ya 2006 etc
2. Wanapewa misaada ya kifedha na marekani
3. Israeli kuna kambi ya kijeshi ya marekani ila hakuna kambi za jeshi za israeli kule marekani.

Tumia akili mkuu utaona israeli ni katawi tu ka marekani, kanapewa misaada, marekani wanaeka kambi za jeshi kama strategy tu ya kudeal na middle east
 
Kabla ya kusema chochote juu ya Israel naomba nikuulize maswali kidogo
1 Je inawezekana ndani au katikati ya Africa kukawa na nchi ya wazungu tupu? au katikati ya bara la Ulaya kukawa na nchi yenye watu weusi tupu?

2 Je katika jamii zote nne za binadamu ni jamii gani ina nywele za blonde

3 Je ina maana wakati waisrael wanakwenda au kusambaa dunia nzima ina maana waliondoka wote nchi nzima?

4 Kwa nini Waisrael waliotoka nchi za ulaya na America ndio wanakaribiswa ndani ya israel tofauti na waisrael waliobaki au kutoka sehemu nyingine mfano Africa wanabaguliwa?

5 Nitajie wanasanyansi 3 Duniani waliofanya maajabu kwa uwezo wao mkubwa wa akili na ufahamu ambao ni waisrael
5:Albert Einstein,Sigmund Freud,Carl Max
 
Hzi takwimu ukiangalia kuanzia hapo 1929-1938 Kuna mtiririko mzuri wa tarakimu unaoashiria ongezeko la JEWS kwa S' bu jews hawakua ktk Risk ya kuuawa ktk WWI..
But when it comes to the other Statistics from 1940 -1948, Mfano kuanzia 1940-1942 Ukitoa hpo utakuta kuna Deduction ya almost 200, 000 Number of jews, Lakini ukiendelea mpk 1948 Utaona walianza kuongezeka tena,Ss how Does this Happen wakati inaeleweka Kbs kipindi cha Vita Hawa watu hawakua ktk nafasi nzuri ya Kuzaliana kwa kiasi Hicho, hata km wapo waliohamia ktk nchi nyingine za ulaya n etc, Na ht km hawakufikia milioni 6 Ktk holocaust, Lets say waliouawa walikua milioni 2..

milioni 2 Ni number kubwa, kwann bdo hzo takwimu hazikushuka hata kwa Idadi ya Milioni 2 au hata 1..
This means kwakua mauaji yalifanyk in WWII BSI hzo takwimu kuanzia miaka ya 1940,1942,1943-1945 Ingeathiriwa tu na Punguzo kubwa la Mauaji hayo, ingeshuka kufikia hata 14M or 13M
lakini that hasnt HappeneD!!..
Kuna mashaka Hapo ktk hzo takwimu mkuu
Ok vizuri hii ndio faida ya JF watu kutumia akili si kukubali tu kila kinachoandikwa hapa nakupongeza kwa hilo mkuu

kujibu hoja yako nitajibu kama ifatavyo

1 Toka mwaka 1929-1948 idadi ya waisrael 133,630 ndio waliongezeka yani mwaka 1929 walikuwa 15,630,000 na mwaka 1948 walikuwa 15763630 So utaona ndani ya miaka 19 waliomgezeka 133,630 tu

2 Hii ni idadi ya waisrael dunia nzima ambao walikuwa milion 15 + or -

3 Waisrael waliopata tabu sana wakati wa vita ya dunia walikuwa wale waliopo ulaya tu si sehemu nyingine dunian na ulaya ikikuwa na waisrael milion 9.5 tu ambapo Germany walkuwa waisrael milion 4 tu

4 Vita vya dunia vilipiganwa kwa nchi na nchi na kushirikisha makoloni ya nchi hizo so israel aikuwa nchi walikuwa ni watu so waliopigana vita vile walikuwa ni wachache sana wengi walikufa kwa sababu za kujiokoa au kukimbia vita lakini hakuna nchi iliyokuwa na wapiganaji wa waisrael ktk jeshi lake

5 Mwaka 1943 takimu za uhamiaji za US zinaonyesha wakimbizi zaidi ya 584,860 wa israel walipatiwa hifadhi na kuingia US kutoka Ulaya na wengine 969,000 walikuwa wameshaikimbia ulaya na kukimbilia sehemu zingine dunian
 
anaefahamu naomba anijuze ?nasikia hawa watu wanaakili sana na ndio maana hitla aliwaua mamia kwamaelfu navilevile nasikia kwamba nchi za kiarabu zimeshindwa kabisa kuifyeka hii israel eti wanabaki kubweka huku wameficha mkia kama mbwa alie mface chatu sijui nikweli? Great tel me plz
No. People have gulped fake news and now live believing lies to be the truth. You remember the late Lucky Dube song? They conditioned our mind for so long to believe their lies and now we are paying for it.
 
Upo aware kwamba hio ardhi wamepewa na hawajajipa na hadi leo wanasaidiwa.

Israel wanasaidiwa matrilioni ya hela na nchi kama marekani, jiulize mwenyewe kwanini mtu aliebarikiwa na mwenye akili sana anategemea misaada? Tofauti ya israel na nchi za kiafrica ni kwamba marekani wanasamehe mikopo wanayoipa israeli wakati sisi tunaendelea kudaiwa. Ila wote tunategemea nchi za magharibi za marekani na washirika wake kupata msaada

U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
Ivi kweli Marekani wasamehe tu mikopo? Kuna kitu wanafaidika
 
Waisrael wakweli ni wa palestina,yaani ukijumlisha wote waliokuwa wanaishi palestina kabla ya uvamizi wa mazayuni( mazayuni si kabila wala rangi,wzayuni ni mtu yoyote aliyekuwa anapinga uvamizi wa wageni palestina) Waisrael origin yao ni uzao wa shem( moja ya watoto wa Noah) hawa akina netanyau ni watu kutoka russia ujerumani waliochukuliwa sehem mbalimbali duniani kuhalalisha uvamizi wa taifa la palestina kwa maslahi ya wajanja wa kilimwengu kama akina Roschchild ili kuchafua hali ya hewa mashariki ya kati kwa ajili ya ku control mafuta.marekani ilidanganywa tu kuingia kwenye huo mgogoro ili nae awe kiranja wa kuwahadaa walimwengu wakubali kuhalalisha uvamizi huo
Nimeongea mengi yasiyohusu swali lako ili tu upate picha kuwa hao wanaojiita wana akili jinsi gani wanaitumia hiyo mentality kuutawala ulimwengu.Ukiwa huna akili utaamini kuwa ni kweli waisrael wanaakili kukupita ila kama unatumia ubongo wako vizuri utaamini kila mtu anaakili awe msukuma au muisrael
 
Back
Top Bottom