Ok vizuri hii ndio faida ya JF watu kutumia akili si kukubali tu kila kinachoandikwa hapa nakupongeza kwa hilo mkuu
kujibu hoja yako nitajibu kama ifatavyo
1 Toka mwaka 1929-1948 idadi ya waisrael 133,630 ndio waliongezeka yani mwaka 1929 walikuwa 15,630,000 na mwaka 1948 walikuwa 15763630 So utaona ndani ya miaka 19 waliomgezeka 133,630 tu
2 Hii ni idadi ya waisrael dunia nzima ambao walikuwa milion 15 + or -
3 Waisrael waliopata tabu sana wakati wa vita ya dunia walikuwa wale waliopo ulaya tu si sehemu nyingine dunian na ulaya ikikuwa na waisrael milion 9.5 tu ambapo Germany walkuwa waisrael milion 4 tu
4 Vita vya dunia vilipiganwa kwa nchi na nchi na kushirikisha makoloni ya nchi hizo so israel aikuwa nchi walikuwa ni watu so waliopigana vita vile walikuwa ni wachache sana wengi walikufa kwa sababu za kujiokoa au kukimbia vita lakini hakuna nchi iliyokuwa na wapiganaji wa waisrael ktk jeshi lake
5 Mwaka 1943 takimu za uhamiaji za US zinaonyesha wakimbizi zaidi ya 584,860 wa israel walipatiwa hifadhi na kuingia US kutoka Ulaya na wengine 969,000 walikuwa wameshaikimbia ulaya na kukimbilia sehemu zingine dunian