Mataifa matano? Ujerumani kapiga dunia nzima tena sio mara moja mara mbili kwenye vita vyote vikuu vya dunia. Wanakuja kumshinda kwa kumuekea vikwazo kukosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Leo hii dunia ikimchangia israel itakuwaje? Kama Iran tu pale inamuhenyesha?
Kama wao wana akili cyber war yao na iran kwanini waliingiza nguvu za bunduki? Iran walihack website zao kibao wao wakawa wanawaua kwa kuwatumia assasins, mtu mwenye akili akishindwa kitu cha akili anatumia mabavu?
Na mwisho wa siku mtu mwenye akili analiwa tigo? Iweje taifa hili lenye watu wenye akili kuna.mashoga wengi hivi.
Tel aviv ni jiji zuri kwa mashoga kuliko new york, london, toronto etc
Tel Aviv declared world's best gay travel destination
Labda nikuweke sawa.
Ujerumani ilishindwa vita ya Dunia.
Israel ilishinda vita.
Vita hii Iliishtua ukimwengu mzima especial ulimwengu wa kiarabu.
kwa Daudi kumpiga Goliath.
Pili Iran ya was Persia ni Taifa Kubwa.
Historia inaonyesha kua Israel imekua ikiyashinda kwa vita mataifa makubwa huku yenyewe ikiwa na tofauti kubwa sana ya kuwa na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache nk.
Udogo wa jeshi lao na vifaa, imekua ndio sababu ya kuvitia kiburi mataifa ya uarabuni kwa kiasi cha kudhani kua wanaweza kuishinda. Hata hivyo Matokeo yamebaki kua tofauti sikuzote, kwa Israel kua victor na waarabu kua loosers
Goliath hachomoi kwa Daudi.
It is not the size of the dog in the fight, but the size of the fight in the dog.
Cyber war ni progressive.
Iran imekua ikilalama wanasayansi wake kulipuliwa kule Iran na Israel baada ya wao kuikamata drone ya marekani.
Iran inachukiwa sana pale arabuni na mataifa ya kiarabu.
Sehemu kubwa ya marafiki zake ni makundi ya kigaidi kama Hamas, Muslim brother hood, hezBollah, hali hii imeifanya iran kubaki kua "duni"dhidi ya Saudia na washirika wake.may be Inge excell zaidi lakini chuki yake kwa Israel inawagharimu sana.
Umetaja Tel Aviv kua na mashoga wengi.
Kwa bahati mbaya sana, Mungu akiwa na makusudi na wewe, kupitia ahadi ya baba zako , hata ukikosea iko siku atakurudisha kwenye reli.
Mungu sikuzote hukumbuka Agano lake.
Israel imepatanishwa na Egypt since 1967.
hata yule rais mwenye nia ovu kutoka chama cha Muslim brother hood aliondoshwa na jeshi LA misri.