Je ni kweli Waisrael wamebarikiwa kuliko binadamu yeyote duniani?

umentoa tongotongo
 
hili nalo jipya mkuu,. u mean kabila la yesu sasahivi ni mashoga uyoga🙁😉
 
.....Why God was so biased?
 
adolf Hitler aliwaua waisrael Zaidi ya milioni sita ,,,mbona hawakujiokoa? kama sio kule RUSSIA baada ya jeshi la Hitler kushindwa vita sababu ya barafu sasa hivi Waisrael wasingekuwepo kwenye ramani ya dunia
 
waisraeli tuseme wayahudi wamesoma na wana hela sana duniani kwa sababu kuu mbili.

1. zamani dini ya kikristo ilikataza biashara ya kukopesha kwa riba lakini dini ya kiyahudi iliruhusu. hili lilipelekea wayahudi kutajirika kupitia biashara ya kukopesha pesa na hatimaye mabenki. pia sote tunajua kuwa matajiri huwapa watoto wao elimu bora kabisa.

2. zama ulaya wayahudi walikuwa wakinyanyaswa sana maeneo ya mashambani. hivyo wengi wakakimbilia kwenye majiji na kuwa wafanyabiashara. na mijini ndiko kuna vyuo, mashule na michongo yote. hata walivyoamia Marekani walihama na umisheni town wao.

kwa kuongezea ni kuwa hawa jamaa wanasaidiana sana kwa kupeana michongo na mitaji.tofauti na wabongo ambako mtu aktoka anataka kuwa mungu mtu. tukiacha ufala na sisi tutaitwa wabarikiwa.
 
Wamelaaniwa kuliko viumbe vyote wa Mungu laana iko juu yao dunian na Akhera
 
Hata sisi waafrika tumebarikiwa na migegedo mikubwa na dada zetu makalio makubwa.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
I totally hate that! Ni ujinga ulio komaa kabisa! Watoto watakula hayo mavitu? Tena ni laana kabisa!
 
Unachokisema kina ukweli kiasi fulani ndio maana unaona ujenzi wa maelfu ya makazi ya Wayahudi huko Ukingo wa Magharibi, yaani inamaana miaka cyo mingi Wayahudi wanarudi kwao.
Nachukia unyanyasaji wa viumbe wa Mwenye Enzi Mungu
 

Wana wa Israel walivuka Red Sea na kusambaa bara la Afrika.
 
Inasemekana (sina source ya information) kwamba uchumi wa Marekani unategemea sana Israelites. Ndo mana kila anaejaribu kuigusa Israeli marekani huingilia kati. Hawa jamaa wana akili saana.
Hiyo kuhusu kubarikiwa kuliko binadamu wote duniani ni kibiblia zaidi.
 
Accomplishmenents walizofikia Israeli is a short period ni remarkable. Hawa watu walitawanyika dunia nzima walipopewe ardhi na kuunda nchi ya Israel mwaka 1948. Yaani walikusanya watu wao dunia nzima, hawakuacha damu yao itangetange.
Just imagine nchi tulizopata uhuru 1960s, tunaweza jilinganisha na Israel?

Guide: Why are Israel and the Palestinians fighting over Gaza? - CBBC Newsround
Ukitaka kujua akili za hawa jamaa waulize Palestine. Israel walipewa sehemu ndogo ya Palestine with claims kwamba its their God given land kutokana na evidence za kibiblia, ila sasahivi wamewashika masikio Palestine. Imagine, umemkaribisha mgeni kwako alafu ajifanye ndo mwenye nyumba.
 
Its true!!... We waache wanaobishana waendelee!!
Hawa jamaa n nomaa!! Ni blessed from God like no others!!
In short waarabu wamewapiga na kupanda nao lakini WAME BOUNCE in 1000 times!!...
Toka taifa hili lilivoanzishwa 1948 Waarabu wamekua wakipambana kuiondoa Israel wameshindwa hadi Leo ...waisrael wenyewe wachache tu lakin kwa udogo wao wameshindikana Waarabu na washirika wao wanahaha kila kona!!... These pple are blessed we ukiona mtu mapovu yanamtoka ujue n mshirika wa waarabu!!...
INAVOSEMEKANA "NA WALITAWANYIKA DUNIA NZIMA UTUMWANI NA WATAPORUDI HAMNA TAIFA LITAKALO WEZA KUWANG'OA.."" Nasikia haya kunasehem yameandkwa I'm not good in religious matter
 
Naomba google Jesuit
 
Google Jesuit,
 
Hao walikua taifa kipenzi cha Mungu.. Lakini baada ya kuua manabii wengi... Mungu aliwasalitisha kwa mataifa Adui... Kwa hio siku zote wanaishi under stress na tahadhari ya hali ya huu... Mtu yoyote anayeishi katika hali hio anaonekana ana akili nyingi lkn si kweli. Kwa mfano asilimia kubwa ya wahindi waishio Tanzania au nchi nyingine ni watu wenye uwezo... Lakini huko kwao maskini ni wengi sana.. .. Athari ya tahadhari.... Na si kweli kwamba myahudi ni bingwa sana wa kupigana Ila ni kubebwa na Marekani na Uingereza. Hilo nadhani liko wazi kama wewe ni mfuatiliaji wa habari za ulimwengu. Anwaar Saadat alisema wazi kwamba mimi sishindwi kupigana na Israel bali siwezi kushindana na Marekani na Uingereza. Na Israel ni sehemu Ambako Yesu alizaliwa lkn wana-Israel hawakumkubali wakati mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…