Je ni kweli Waisrael wamebarikiwa kuliko binadamu yeyote duniani?

Hata ukigoogle google zote utaambiwa Albert Einstein ni Mwizirael ki asili.
 
Ibrahim alimzaa Isaka,. Isaka akamzaa Essau na Yakobo(mapacha na walikua wakipgana 2mboni wakigombea kutoka hata walipokua wanazaliwa Yakobo alikua kashkilia mguu wa Essau ili atangulie yeye), kwa sababu ya njaa Esau akamuuzia mdogowake uzaliwa wa kwanza na Yakobo kwakua ndo alichotaka akafurah ili. Mzee Isaka alikua kapofuka macho hakujua knachoendelea ila mama alijua lkn akawa upande wa mdogo Yakobo. Mzee akamwambia mwanae wa kwanza Essau amuandalie chakula kzr ili ampe baraka. lkn Mama na mdogo Yakobo wakacheza mchezo wkt Essau kaenda kuwinda, Mzee akambariki Yakobo badala ya Essau. Mungu akambariki Yakobo akampa jina Israel na watoto 12(ndo wanaounda makabila 12 ya Israel) kuptia kwa wake zake Lea na Rachel. Yakobo alimpenda sana Rachel(hapa pana stori) na Rachel alimzaa Yusufu na Benjamin, Yusufu alipendwa na baba yake kiac kaka zake wa mke mkubwa kwa wivu wakamuuza kwa wafanyabiashara wa Misri wakiwa machjungani. Israel ni kizazi cha Yakobo na ndio Mwanzo Wa Taifa huko Misri(hapa pana Stori pia).
 
Albert Einstein mvumbuz wa atomic bomb n myahud if u dont knw kaaa kmyaaa
 
Kama wewe unaona ni propaganda. ..sasa mm nitakuamini vp kama nawe unachonambia sio propaganda. .lets assume everything we be told is propaganda then..
Mkuu achana na imani hiyo hakuna kitu pale!
wale ni washenzi tu na hata siku moja Mungu wa kweli hawezi kuwabari watu washenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…