Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengine mataifa ya nani.... Hata shetani ni kiumbe cha munguhilo ni taifa la mungu
Hata ukigoogle google zote utaambiwa Albert Einstein ni Mwizirael ki asili.Hahahahhahahaha naona nguvu ya propaganda ya vyombo vya habari inafanya kazi yake owk unasema Albert Einstein. alikuwa ni Muisrael unaweza kunambia alikuwa ni.wa jamii gani kati ya jamii hizi za israel ?
Ashkenazi jews, Sephardi jews, Turkisa jews, Italian jews , Romaniotes, Gergian , Crimean karaites jews
Nijibu hilo then tutaelimishana vizuri
Albert Einstein mvumbuz wa atomic bomb n myahud if u dont knw kaaa kmyaaaKabla ya kusema chochote juu ya Israel naomba nikuulize maswali kidogo
1 Je inawezekana ndani au katikati ya Africa kukawa na nchi ya wazungu tupu? au katikati ya bara la Ulaya kukawa na nchi yenye watu weusi tupu?
2 Je katika jamii zote nne za binadamu ni jamii gani ina nywele za blonde
3 Je ina maana wakati waisrael wanakwenda au kusambaa dunia nzima ina maana waliondoka wote nchi nzima?
4 Kwa nini Waisrael waliotoka nchi za ulaya na America ndio wanakaribiswa ndani ya israel tofauti na waisrael waliobaki au kutoka sehemu nyingine mfano Africa wanabaguliwa?
5 Nitajie wanasanyansi 3 Duniani waliofanya maajabu kwa uwezo wao mkubwa wa akili na ufahamu ambao ni waisrael
HahahahahhahahahahaAlbert Einstein mvumbuz wa atomic bomb n myahud if u dont knw kaaa kmyaaa
Mkuu achana na imani hiyo hakuna kitu pale!Kama wewe unaona ni propaganda. ..sasa mm nitakuamini vp kama nawe unachonambia sio propaganda. .lets assume everything we be told is propaganda then..