aliyeshasema kwamba yeye na mwendazake ni kitu kimoja!Ukweli serikali ya CCM imeamua kututesa hadi Yesu atakaporejea, Watetezi wa wanyonge ndiyo mnawabambikia kesi za ajabu.
Hivyo ni nani anayemshauri Mama.
watu wa usalama wana uelewa wa hali ya juu sana kuliko unavyofikiri, wako watu wazito nyuma ya huyo Mwabukusi, na kinga ni bora kuliko tiba. Vyombo vyetu lazima viwe makini sana na watu km hao mapema iwezekanavyo.Uhaini upo kwenye Katiba ya JMT 1977, huyu ni yule mtu anayetaka kuipindua serikali, sasa ataipindua vipi serikali mtu asiye hata na rungu mkononi?
- Wajinga wanasema kwa maneno?! kumbe maneno siku hizi yanaweza kuvunja mfupa!.
Katiba hiyo hiyo inazungumzia maandamano kama njia ya kufikisha ujumbe kwa mtawala, hii ni haki ya mtanganyika.
Tatizo limekuja pale mtawala muovu ameanza kuogopa mpaka kivuli chake mwenyewe, hataki kuambiwa ukweli, kwasababu unamuuma, anajua ametusaliti, na tumeukataa usaliti wake.
Sasa ameamua kuwazuia wanaotaka kumfikishia ujumbe kwa njia ya maandamano, ameona awape kosa la uhaini, huyu msaliti aliyetoa bure rasilimali zetu milele, anataka kupigiwa makofi ya kupongezwa kwa unyama aliotufanyia na vizazi vyetu. Hapana.
Adv. Mwabukusi ujumbe wangu kwako; ile njia ya bonde la uvuli wa mauti uliyojua utapitishwa, sasa ndio unapita, STAY STRONG, I know ujumbe wangu unaupata in a very special way, stay strong. You are not alone.
we hutakaa uelewe, we ni slow learnerDuh mipango ipi hiyo ya Mwabukusi kumhujumu rais?
mkamateni nyie poyoyoBinafsi naona IGP ndiye anapaswa kukamatwa kwa makosa ya kusambaza uzushi unaozua taharuki nchini. Ametangaza kuwa akina Mwabukusi wanataka kupindua nchi. Kitu ambacho ni uwongo, uzushi na uzandiki mkubwa.
Maneno mengi kwenye keyboard, toka nje upinge kama wenzioUhaini upo kwenye Katiba ya JMT 1977, huyu ni yule mtu anayetaka kuipindua serikali, sasa ataipindua vipi serikali mtu asiye hata na rungu mkononi?
- Wajinga wanasema kwa maneno?! kumbe maneno siku hizi yanaweza kuvunja mfupa!.
Katiba hiyo hiyo inazungumzia maandamano kama njia ya kufikisha ujumbe kwa mtawala, hii ni haki ya mtanganyika.
Tatizo limekuja pale mtawala muovu ameanza kuogopa mpaka kivuli chake mwenyewe, hataki kuambiwa ukweli, kwasababu unamuuma, anajua ametusaliti, na tumeukataa usaliti wake.
Sasa ameamua kuwazuia wanaotaka kumfikishia ujumbe kwa njia ya maandamano, ameona awape kosa la uhaini, huyu msaliti aliyetoa bure rasilimali zetu milele, anataka kupigiwa makofi ya kupongezwa kwa unyama aliotufanyia na vizazi vyetu. Hapana.
Adv. Mwabukusi ujumbe wangu kwako; ile njia ya bonde la uvuli wa mauti uliyojua utapitishwa, sasa ndio unapita, STAY STRONG, I know ujumbe wangu unaupata in a very special way, stay strong. You are not alone.
We bwabwaja tu,mwenzio anabinywa kende aseme Tanganyika na watanganyika viko wapi!?..na Kwa namna gani atawashawishi watu wasilipe Kodi?...uhuru wa manyani,manyani mmepewa uhuru mmeonesha unyani wenuUhaini upo kwenye Katiba ya JMT 1977, huyu ni yule mtu anayetaka kuipindua serikali, sasa ataipindua vipi serikali mtu asiye hata na rungu mkononi?
- Wajinga wanasema kwa maneno?! kumbe maneno siku hizi yanaweza kuvunja mfupa!.
Katiba hiyo hiyo inazungumzia maandamano kama njia ya kufikisha ujumbe kwa mtawala, hii ni haki ya mtanganyika.
Tatizo limekuja pale mtawala muovu ameanza kuogopa mpaka kivuli chake mwenyewe, hataki kuambiwa ukweli, kwasababu unamuuma, anajua ametusaliti, na tumeukataa usaliti wake.
Sasa ameamua kuwazuia wanaotaka kumfikishia ujumbe kwa njia ya maandamano, ameona awape kosa la uhaini, huyu msaliti aliyetoa bure rasilimali zetu milele, anataka kupigiwa makofi ya kupongezwa kwa unyama aliotufanyia na vizazi vyetu. Hapana.
Adv. Mwabukusi ujumbe wangu kwako; ile njia ya bonde la uvuli wa mauti uliyojua utapitishwa, sasa ndio unapita, STAY STRONG, I know ujumbe wangu unaupata in a very special way, stay strong. You are not alone.
MENE MENE TEKELI & PERESIMama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda haki, usipotenda haki, Mungu atakuwajibisha maana kwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 wewe ni mkuu na hamna wa kukuwajibisha.
CCM imeishiwa pumziMama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda haki, usipotenda haki, Mungu atakuwajibisha maana kwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 wewe ni mkuu na hamna wa kukuwajibisha.
Mtumie Mwenzako.Yawezekana kulingana na katiba ya ccm kusema ukweli ni Uhaini. ila naona matokeeo yake yatakuwa haya
View attachment 2716150
Unayemuongelesha anaamini wasaidiizi wake wote ni nusu malaika nusu mitume. Hawana hila, makosa wala nia ovu.....Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo.
Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali.
Mama, tenda haki, usipotenda haki, Mungu atakuwajibisha maana kwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 wewe ni mkuu na hamna wa kukuwajibisha.
CCM iliishiwa pumzi kitambo. Sema inapigapiga mateke ya mwishoooni kabisaCCM imeishiwa pumzi
Kwa tume ipi ya uchaguzi?Unayemuongelesha anaamini wasaidiizi wake wote ni nusu malaika nusu mitume. Hawana hila, makosa wala nia ovu.....
Tusubiri uchaguzi tumuongeleshe vizuri kwa kura zetu
CCM ina ji BBQMtumie Mwenzako.
Mwabukusi Spring
Her days are numberedMENE MENE TEKELI & PERESI
Haya maandishi ukutani hata JPM aliambiwa hivyo, na akayapuuzia. Yaliandikwa kupitia matendo ya akina Kingai na Wambura hawa hawa.
Mama ukifanya dhuluma juu ya wenye haki kutokana tu na ubinafsi na tamaa za mali ya umma, ama kwa hakika utaanguka tu. Sauti ya mwenye haki ni sauti ya Mungu, basi na utambue kilio chake ni hasara yako wewe mwenyewe.
Nyani babayoWe bwabwaja tu,mwenzio anabinywa kende aseme Tanganyika na watanganyika viko wapi!?..na Kwa namna gani atawashawishi watu wasilipe Kodi?...uhuru wa manyani,manyani mmepewa uhuru mmeonesha unyani wenu
Si uiseme, acha kuita watu majina ya kishenziwe hutakaa uelewe, we ni slow learner
Hawa usalama wanaoajiriwa kwa vimemo? Kisa baba ni kada wa chama?watu wa usalama wana uelewa wa hali ya juu sana kuliko unavyofikiri, wako watu wazito nyuma ya huyo Mwabukusi, na kinga ni bora kuliko tiba. Vyombo vyetu lazima viwe makini sana na watu km hao mapema iwezekanavyo.
Kila siku unasema hivyo hivyo😂😂Kunakaribia kupambazuka…