Je, ni kweli wakili Mwabukusi ni mhaini?

Mkuu

You have spoken my mind, this seems to be a failing state with cowardice leaders who merely suspect the invisible threat

Mwabhukusi sio MHAINI wamemlenga kwa sababu ana hoja za msingi kuupinga mkataba wa bandari ambao una vifungu tata na havikubaliki kwa wananchi wote achilia mbali wanafiki wanaojikomba kwa kipende cha rupia na mkate.
 
Binafsi naona IGP ndiye anapaswa kukamatwa kwa makosa ya kusambaza uzushi unaozua taharuki nchini. Ametangaza kuwa akina Mwabukusi wanataka kupindua nchi. Kitu ambacho ni uwongo, uzushi na uzandiki mkubwa.



Mara aseme Eti wametoa maneno ya uchochezi?!

Sasa lipi ni lipi? ! [emoji2369]
 
Mhaini kabisa tena ana hatia ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa msaliti mkubwa. Haiwezekani kazi nzuri anazofanya Dkt Samia atokee mtu wa kupinga pinga. Tunataka bandari yetu iwe na ufanisi.
 
Mmeyakataa maridhiano.na nia njema ya Mama,sasa see the otherside of it.

Pigeni kelele ndio imetoka hiyo,atakuwa pale Magereza Selo kwa muda kidogo maana ndio alilochagua.Unapotangaza utanganyika ndani ya Jamhuri huo ndio Uhaini wenyewe.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mhaini kabisa tena ana hatia ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kabisa msaliti mkubwa. Haiwezekani kazi nzuri anazofanya Dkt Samia atokee mtu wa kupinga pinga. Tunataka bandari yetu iwe na ufanisi.
Ni kweli tunataka ufanisi bandarini, lakini kwa win win situation. Sisi twaenda kuwa vibarua kwenye shamba letu la urithi.

CCM mlaumiwe na mlaaniwe kwa kuhujumu bandari zetu
 
Wanikamate na mimk, nataka Tanganyika
 
Asanteni kwa ukarimu wenu. Watanganyika mmejua kunifurahisha.
 
Very sad, mama is just looking forward for her justification to flash off our precious bandari
 
Amina. Mipango ya Mungu ccm haiwezi pindua
Soma hapa mkuu wangu, nimeandika hii mwaka huu.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Mungu anaifuta CCM kwa kasi ya ajabu...

Pia fuatilia threads nilizoanzisha nimetumia lugha nyepesi mno kuelezea haya yanayotukia leo.

Mungu ameondoa kauli kwa viongozi wetu, wanatenda kama yule mfalme Sauli wa Israel alivyotenda. Aliwekwa na Mungu lakini baadaye Mungu alighairi
 
Na mimi nilimfikiria Sauli aliyekataliwa na Mungu jinsi ambavyo alipata shida sana kutawala, hadi akaenda kwa waganga
 
Imetafutwa namna ya kuwaweka ndani wakati mchakato wao wa DP World unakamilishwa. Hakuna kesi hapo lakini watakosa dhamana.
 

Kwaiyo huyu mwabukusi alitaka kumpindua raisi?????

Nyie ccm ni waoga sana wa hoja nzito mkiona mnashindwa kwa hoja mnakimbilia police na makesi ya hovyo.....

siku moja nyie mtakuwa pamoja na sisi na tutaongea kugha moja ni swala la wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…