Je, ni kweli wakili Mwabukusi ni mhaini?

Alisema ataiangusha Serikali JMT ya Awamu ya Sita kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Huo sio uhaini? Tena akisamehewa sana, anatakiwa kufungwa kifungo cha maisha Ili wengine watie akili! Shwain!!!!
 
wahaini ni waliomkamata mwambukusi kutetea masilahi ya wananchi wasio na sauti
 
Mamlaka inalazimisha m***du kutafuna Mua. Inajaribu kulazimisha mitaa ikubaliane na vitu ambavyo sio sahihi. Naona wanazidi kumuingiza mama Chaka,nyota inazidi kufifia tu.
 
Na mkifa muende huko mwendako na vyeo vyenu.
 
Sio mhaini msikilize ujilidhishe mwenyewe kama kinachodaiwa ni uhaini
 
Mama wala hausiki na kazi za usalama, yeye mwenyewe analindwa na watu wa usalama.



Haiwezi kueleweka.

Yeye ndiye Supreme Leader,

Yeye ndiye kiongozi wa hao Viongozi wa usalama,

Mambo yakiharibika kwenye familia Baba na mama Kama kiongozi Mkuu Ndiyo hulaumiwa, huwezi kusema amekosea Mtoto wangu yule mkubwa n.k.

Serikali kama taasisi ina CEO wake.
 
Mama yenu anahusika katika ukamilifu wake

Tazama huyu wakili wakati anaongea baada ya hukumu kuna jinai gani imetendeka?
 
Exactly
 
Nilisema Toka awali.

Mbumbumbu wa akili apatapo mamlaka, Huwa anatumia nguvu zake zote za kimamlaka, kujihakikishia mamlaka yake.
 
Huyu ni raisi aliyeingia madarakani kwa wizi wa kura sasa anaogopa kuondolewa kwa njia halali
 
Sisi wengine tupo tu na popcorn zetu hapa.

Hao akina Mbowe&Co walifutiwa kesi zao ili kuhalalisha tu kuwafutia kesi wale masheikh wa zanzibar (UAMSHO).

Ndezi mkapiga mapambio "Mama this Mama that,kiko wapi?

Na huu ni mwanzo tu,TISS wamepewa kinga dhidi ya mashtaka,wa mitandaoni kaeni radar bila VPN usi-log in popote.
 
Itajulikana mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…